TEMPOLALE
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 302
- 107
Mkuu haya ni mazoea ya vyombo vya usalama ya kubambikizia watu kesi.Wamezoea kutubambikizia kesi na leo wanafanya hivyo hivyo kwa watu
Tuhuma za Ugaidi zinachafua image ya Nchi husika.Dunia ipo vitani dhidi ya ugaidi sasa unapombambikizia mtu tuhuma kama hizi na kuzitangaza kisha ikaonekana hawahusiki ni lazima uombe radhi kwa namna ile ile uliyotumia kutangaza
Polisi imekamata Polisi 16 kwa tuhuma za kushirikiana na maafisa wa TRA kukusanya ushuru kutoka kwa wafanya biashara wanaoingiza magendo kupitia bandari Bubu ya Mbweni, Kova amekataa kuyataja majina ya hao Polisi amedai uchunguzi bado unaendlea je? ni kwanini walikurupuka sana kulitaja jina la Victor Ambrose mtuhumiwa wa Bomu la Arusha? na wakaenda mbali kuzitaja nchi kwa za wanamotoka watuhumiwa wengine ilihali uchunguzi ulikuwa bado unaendelea? DOUBLE STANDARD