ndugu wana JF hawa startimes kwa maelezo yao ni kuwa wao walipewa taarifa na UBC kuwa wataonyesha euro, kwa kuwa ubc inapatikana katika chanel zao ndio maana waliamua kuwajulisha wateja wao kwa kupitia ujumbe usemao 'furahia kombe la EURO kupitia chanel ya UBC', kwa bahati mbaya hadi muda ile game ya kwanza inaanza ambayo ilionyeshwa startimes kama walivyoambiwa na UBC walijua game zote zingeruka hewani lakin walishangaa kuona game ya pili haijaonyeshwa.
mawasiliano yalifanyika haraka na watu wa UBC ambao jibu lao lilikuwa hawana authority ya kuonyesha mechi zote. kwa hiyo startimes ikabidi wanywee kwa promisi kuwa UBC wanaonyesha mechi nane tu!!! 4 za makundi, 2 za robo fainali, 1 nusu fainali na 1 fainali. na kwamaelezo waliyoambiwa lazima UBC iwe free to Air, na ndo maana Jumapili jioni startimes waliiweka UBC kuwa free, lakini chaajabu UBC mechi ilipoanza UBC wakakata matangazo kwa kisingizio kunamatatizo ya kiufundi (hapa nadiriki kusema DSTV kafanya kazi yake)
Sasa startimes ili isiwaangushe wateja wake ikawabidi waende ATN wakaongea na hawa jamaa na wakafanikiwa 'kuirent' ATN mpaka mashindano yatakapoisha ili tu wateja wafurahie mpira kama walivyoaidiwa na ndiyo maana ukiwasha king'amuzi chako utakuta katika UBC wameireplace ATN
Sasa kitu cha kukumbuka UBC na ATN wanaauthority ya kuonyesha almost 20% ya mechi zote, which means about 8 matches only kwa hiyo wateja wa startimes wataangalia match kupitia hiyo ATN na ni mechi nane tu ikiwemo ya leo ya England na hispania.[/QUOT
DODOMA MJINI IMEKATA TOKA JUZI MCHANA MPAKA SASA HIVI BADO