Recent content by Rkz5

  1. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Mashine (Crusher) La Kusaga Mawe Na Kutoa Kokoto/ Mchanga (Powder)/ Chippin

    Broo waweza nicheki kwa hii namba nikakuletea pia upande wa ushauri wa huo mtambo na sehemu utakayofanyia
  2. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    Huyo mzee huko ndiko ilikokuwa asili yake broo
  3. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    Hahaaaaaa
  4. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    Ni sahihi na ukweli usiopingika.. Kwa maana kisiwa chochote asili yake ni (migrants) wahamiaji
  5. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    Tafuta asili ya Mwinyi mzee upate majibu ni mtu wa wapi upande wa baba yake.. Ile katika ambayo hata yeye aliikuta kule hakuyaanzisha yeye yale
  6. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika kampuni ya clearing and forwarding

    Mrejesho mkuu
  7. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji(investor) wa Shilingi milioni 2.5 tu

    Mkuu kwa hii faida itakuwa endelevu au baada ya miezi hiyo 15 tu..
  8. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza plastick

    Mambo masaibone nimeona nawe nikuone mana mm mwenyewe nataka nianzishe kiwanda cha kutengeneza mabati machine naweza nunua pamoja na materials pia. Jee kwako ni ipi changamoto uliyokutana nayo..
  9. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tractor kuanzia 50 hp

    Ni reviews nzuri sana zina Saidia wakulima na wajasiriamali.. Nipo harakati za mwishoni kuingiza Massey furgason pcs 5 za hp 80 na hp 90 recondition ikiwa na planter na jembe lake
  10. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Nahitaji jaw crusher mashine ya kokoto

    Habari kaka nashukuru kwa maelezo yako.. Kwa upande wangu na shauri ungeagiza direct kutoka alibaba Wanazo za kila aina na pia wapi maagent wa kitanzania ambao wapo China wanakusafirishia kwa njia ya salama bila ya shida yoyote,, Laa kama unahisi itakuwa tabu na nzunguko nenda mnazi mmoja kwenye...
  11. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Kapiga simu nyumbani wamfuate, watekaji walao ni wema kumpa simu

    Mmhh haya bwana wacha wajuzi wa uchambuzi watupie hapo
  12. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haya mawe

    Wadau wangu naombeni msaada wa haya mawe ambayo kimuonekano ni meupe sana na yanameremeta kiasi kwa jina yanaitwa terrazo. Natafuta soko bei yake ikoje sokoni
  13. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Msaada: Leseni ya madini na gharama yake

    Kiwango cha kukadiriwa ni capital ambayo utaanza nayo. Hiyo ipo wazi huwezi ukafanya mchanganuo wa kodi mwenyewe.. Nadhani nitakua nimelijibu..
  14. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Msaada: Leseni ya madini na gharama yake

    Nashkuru kimemeta nimeielewa hiyo concept yako ya kuanzia halmashauri kuomba then kuendelea na procedures nyengine hadi kufikia huko ofisi za madini.. asanteni sana.
  15. Rkz5

    JamiiForums Tanzania Msaada: Leseni ya madini na gharama yake

    The issue ni kuanzia kwanza Tra
Back
Top Bottom