Mashine (Crusher) La Kusaga Mawe Na Kutoa Kokoto/ Mchanga (Powder)/ Chippin

Money Bags

Senior Member
Jun 22, 2012
146
670
Wasalaam Wakuu

Kama kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mjasiriamali natamani kuwekeza kwenye mradi wa kupasua mawe na kutoa derivatives i.e. kokoto, chipping na mchanga ulio katika powder / vumbi.

Hivyo nauliza kwa unyenyekevu suppliers wa hizi machines / plants from China na Europe na uwezo wa hyo mitambo ku perform kwa couple of tonnes / hour (sihitaji hizi crasher ndogo nahitaji kwa zile kubwa za plant kabisa)

Mwenye ujuzi na mwenye kuwajua suppliers kwa purpose ya kunipatia quotations za hyo mitambo CIF to Dar Port nitashukuru sana.

Nakaribisha mawazo chanya pia ya topic husika.

Regards.
 
Sijui Bongo ni vipi but import from China upto Dar es salaam itakuwa sawa na Mombasa. Also hii information ni from about 3 yrs ago.

Wakati unanunua mitambo kama hiyo hoja muhimu kuzingatia ni hakikisha supplier wako wa Mitambo ana after sales support, yaani ako na country presence ili hata repair iwe rahisi kupata Fundi.

Crusher ya 200tph ni $330,000 to $ 380,000 ,na ya 100tph ni about $230,000. Hii ni kabla ya ushuru, na sijui mfumo wa Bongo wa ushuru so ill not comment.

Reputable suppliers ni hizi kampuni mbili za kichina maanake wako na country presence huku Kenya: Zenith Group, na SBM Crusher....u can Google kama wako na presence in Tanzania ili kuconsider way forward. I know SBM wako na presence in Uganda pia. U need to specify type of rock na dimensions in mm za kokoto au product unataka so they give u a custom quote

Anyway, biashara hii iko aje hapo Bongo? Na mchanga dar es salaam huwa mnatoa wapi?
 
Kokoto

1/2 inch
3/4 inch
1 inch
Chipping
Dust as Dust (As a derivate / end product)

Shukrani sana Mkuu.
 
Pick you poison, ukiliona linalokufaa mtafute ‘Chris Lukosi’ au wengine wanaojitangaza wanaweza kukuletea chochote kutoka nchi husika.

Usipige simu mwenyewe moja kwa moja kwa muuzaji waache wenyeji wakufanyie kazi wanaweza bargain na kulishusha bei. So anza na kuwatajia offer ya chini.

Mkono mtupu aulwambi kuna costs zao za kuwalipa sioni ikizidi millioni 5 or less kwa muda wao ni hela ndogo kama una uwezo wa kununua mashine la $200,000 mpaka $1,000,000.

Malipo unalipa mwenyewe kwa kampuni watakupa account au watakufahamisha njia sahihi, sampuli yao design ya kina Lukosi biashara yao ni reputation so kutapeliwa hakuna. Heck wanaweza ata kukupa mbinu ya kupata visa uende mwenyewe kujionea kabla ya kutoa hela.
 
Habari, endapo unahitaji kusajili kampuni, jina la biashara, trademarks, hivyo kuhitaji usaidizi katika documentation, TRA E-filing, drafting and online filing kwa gharama nafuu na haraka, usisite kuwasiliana nami.

Pia kwa wafanyabiasha tunafanya huduma ya kusaidia na kushughuliak na masuala yote ya kodi na yanayohusu TRA kama vile;
🔥Kufanya ritani zote za kodi
🔥 Kuitikia wito wa TRA kwa niaba yako
🔥Kufanya ama kusaidia kufanya maridhiano ya kodi (tax reconciliation)
🔥Kutoa ushauri wa jumla wa masuala ya kodi kwa mfanya biashara na kuwa mlezi wa masuala yote ya Compliance ya biashara yako.

+255755963775 calls/WhatsApp
 
Back
Top Bottom