Recent content by ris

  1. ris

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    ameongeo point ila kuna sehemu ametumia unazi kama hapa kwa maguire huyo mchambuzi ametumia uingereza wa Maguire kumtetea.angalau angesema Maguire ruined ole gunner carrier
  2. ris

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    kwa tabia ya Ronaldo timu isipotengenezwa kumzunguka yeye hapo ndo ugomvi unapoanzia kwa ila 10hag hajui kama unamchukia ungechukulia haya mambo kawaida tu au unapumzika hadi akitoka then unaendelea na kushabikia timu yako pendwa
  3. ris

    JamiiForums Tanzania Tatizo la moyo kudunda vibaya

    nimejaribu pm imenigomea tafadhali Zogwale nina shida urgent sana ya kuwasiliana na wewe naomba nisaidie njia ya kuwasiliana na ww
  4. ris

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    mwingine huyo kaongezeka
  5. ris

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    hizi tabia hua ni washabiki wa arsenal this is too low kwa shabiki wa liverpool you are more than this waachie wale watu arteta ball huu utoto
  6. ris

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    GGMU
  7. ris

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    M
  8. ris

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni kweli timu haijakaa vizuri kushindana lakini kwa shabiki wa maanchester yuko sahihi kuona kuna maendeleo ukilinganisha na msimu uliopita mi naona wako sawa kusifia timu yao siioni kama timu yao ni dhaifu kama wewe unavyoichukulia kucheza mpira mzuri na kupata matokea kwa pamoja sio kitu cha...
  9. ris

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huyo jamaa anaongozwa na chuki hakuna uchambuzi wowote anaofanya anashindwa kutambua msimu wa kwanza wa Arteta baada ya mechi 26 timu yao ilikuwaje na msimu wa kwanza wa ETH amekaa kishabiki zaidi kuliko uhalisia
  10. ris

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika ugonjwa wa GERD

    Hiyo Gerd imenisumbua sana kifua kilikua kinauma sana hata kuvuta hewa ilikua kwa tabu nilihudhuria hospital lkn nililkua napewa dawa za kutuliza tu ambazo ilifikia hatua zikawa hazinipi nafuu kabisa bahati nzuri kuna mtu aliniunganisha na mtu wa tiba mbadala Mwanza akanipa dawa zikanisaidia...
  11. ris

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bye Ronny
  12. ris

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kumfukuza Tuchel sio poa sasa sisi arsenal tutashindaje mnamtoa huyu tactician
  13. ris

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Imagine being us
  14. ris

    JamiiForums Tanzania Mji kama Kahama ukitoa ule mgodi kinabakia nini pale?

    Umachotakiwa kuelewa ni kuwa huo mgodi unaoutoa ulishasimama uzalishaji tangu mwaka 2021 upo kwenye stage ya kufungwa na sio uzalishaji tena sasa sijui unautoa mara ngapi wakati ulishatoka
  15. ris

    JamiiForums Tanzania Mwanza City: The Photo Gallery

    Busenga ni kubwa kiongozi labda ni maeneo yapi unazungumzia maana mimi ni mkazi wa busenga ila kwangu hakujawahi kuwa na mafuriko
Back
Top Bottom