Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Adam Malima huwa naona kapoa sana. Kwa Mkoa kama wa Mwanza tunahitaji RC mwenye kuweka headlines angalau mara moja au mbili kwa wiki.
Malima hamna kitu si huyu huyu alikuwa mkoa wa Mara baadaye Tanga sijawahi kuona mema yake. Na hii tabia ya kuzungusha wakuu wa mikoa wale wale ni aibu sana kwa Taifa. Eng. Gabriel all the best mkuu kazi yako ilionekana.
 
Magufuli bridge🔥🔥
 
Ile hoteli inayojengwa capripoint

Screenshot_20220723-214437.png
 
Back
Top Bottom