Recent content by Rikab Mikail

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mavuno House inaungua hapa posta.....

    "Mavuno Hausi" ndiyo wapi? Mtaa?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Binadamu wa kwanza ni yupi? Wa Olduvai au Adam

    NAONA KISWAHILI KIGUMU... KUNA TOFAUTI KATI YA "BINADAMU" na "MTU" WASWAHILI TAFADHALI HEBU WATUJULISHE ZAIDI
  3. R

    JamiiForums Tanzania Can You Solve This Family Puzzle?

    There are 4 daughters and 3 sons in Santa's Family
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa Mpya wa Slaughtersiskwasis

    Tufanye Tamasha kubwa lingine la "ZINDUKA" na tuwachaji walalahoi zaidi ya Shilingi 10,000/= kila mmoja atakaye jumuika katika tamasha hii, ili kuwatokomeza kabisa hao walalahoi katika jamii. Tuwape hao Mafisadi hizo pesa ili wanunue silaha kabambe kutoka China za kutumaliza kabisa, ili tuwe...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Polisi jamii iendane na elimu

    Karibu bongo
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni mtanzania gani ambaye ni 'maarufu' kuliko wengine?

    Julius kambarage nyerere
  7. R

    JamiiForums Tanzania JK Interview, Kigugumizi

    Lugha tatizo!!! Thinking in "Swahili" and speaking in "Foreign language".
  8. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Sh 58bn kila wilaya za "Kilimo Kwanza"

    Kirimo kwanza!!!!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ulemavu na Ombaomba

    Naomba kuuliza. Je, Mlemavu lazima awe ombaomba? Kila ninaposimama kwenye mataa za kuongozea magari kwenye barabara za Dar ninakuta walemavu wana omba wakigongagonga madirisha za magari na kunyosha mikono. Je, hii hali inawezekana kubadilishwa/kubadilika? :confused:
  10. R

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuweka mizani KILWA ROAD

    Tanzania isomeke kama Dar es Salaam.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Celtel yamdhamini Mwinyi kupanda Mlima Kilimanjaro

    Hiyo ya mwaka gani? Celtel nafikiri imekufa siku nyingi... je hii ni baada au kabla ya *~*?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Einstein's Riddle

    Kumbuka Samaki haijatajwa kwenye swali, ila vingine vyote vimetajwa. Fuata Jedwali ifuatayo: Nyumba 1 Nyumba 2 Nyumba 3 Nyumba 4 Nyumba5 Nchi Norway Denmark Mwingereza Mjerumani Sweden Rangi Manjano Baharia Nyekundu Kijani Nyeupe Kinywaji Maji Chai Maziwa Kahawa Bia Mvutaji wa Dunhill...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Einstein's Riddle

    MJERUMANI anafuga Samaki.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wachina wa kampuni ya Chico watuhumiwa kumtesa mlinzi

    Hao WaChina wawajibishwe.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya DAWASCO hayana akili

    kunatakiwa kuwe na tangazo la watu wasiopata maji kutoka kwenye bomba zao, kuelimisha watu wafenyeje ili kupata huduma hizo.
Back
Top Bottom