Lugha tatizo!!! Thinking in "Swahili" and speaking in "Foreign language".
Sioni tatizo ... naona yuko better hata kuliko maprof wengi wa kitanzania niliowahi kusikia wakihojiwa (ambao by the way wanaotumia kiingereza kazini kila kukicha).Lugha tatizo!!! Thinking in "Swahili" and speaking in "Foreign language".
Kigugumizi kinamjia anapofiki kwa kikwere halafu anazungumza kiingereza!! Asingekuwa na kigugumizi kama angezungumza kikwere halafu mtu mwingine akatafsiri, kwa mtindo huo angekuza lugha ya kwao!!.
Tatizo siyo lugha tatizo ni kwenda kwenye interview mtu haujajiandaa. Inawezekana majibu aliyo toa hapo ni spontaneous na wala hakujiandaa ata jibu vp maswali.
mbona message inafika? what is wrong with that? mbona mizungu haijui kiswahili na wakiongea tunakubali kuwa hawajui kiswahili? iweje rais wetu ananjaribu kuongea lugha yao hata kama siyo nzuri lakini ni much better than angeongea kiswahili na atumie mkarimani.
Tatizo la watanzania ni ulimbukeni, kwani usipo ongea kiingereza ndo kwamba hujui? au huja elimika? Tuache ulimbukeni wa kujiona tu wa magharibi kumbe ni maskini wa tanzania tu!!!
Big up JK!!!!