Ugonjwa Mpya wa Slaughtersiskwasis | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugonjwa Mpya wa Slaughtersiskwasis

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ninja, Feb 18, 2010.

 1. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Deleted
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,231
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  hUU NI MZURI SANA..WACHA UJE BANA...HUENDA UKIISHA WENYEWE, UKAJA UGONJWA MWINGINE MPYA KABISA WA MAISHA-BORAKWA-KILA MTANZANIAMYCIN
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  Feb 18, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,491
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Afadhali umenena, Wadanganyika wabishi sana, baada ya kubwa propaganda za nchi ya amani na utulivu, hawataki kukubali kuwa tunaweza kuishia kuwa kama Rwanda, Somali na Sudan!
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Siwawezi na teminology! Sasa Maisha-bora-kwalimtanzaniamycin ni dawa ama Ugonjwa?
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  ni bakteria!
   
 6. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Last time I checked, ugonjwa huu ulishambulia Burundi, Rwanda, Angola, Mozambique, Burkina Faso, Nigeria, Sierra Leone na sasa Somalia labda matokeo yake ndio haya unayoyaita MAISHA-BORAKWA-KILA MTANZANIAMYCIN

  Hapo kwa kweli mkuu inabidi Viongozi wetu wawe makini. Mwenyezi aepushie mbali.
   
 7. R

  Rikab Mikail Member

  #7
  Feb 18, 2010
  Joined: Jun 7, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tufanye Tamasha kubwa lingine la "ZINDUKA" na tuwachaji walalahoi zaidi ya Shilingi 10,000/= kila mmoja atakaye jumuika katika tamasha hii, ili kuwatokomeza kabisa hao walalahoi katika jamii. Tuwape hao Mafisadi hizo pesa ili wanunue silaha kabambe kutoka China za kutumaliza kabisa, ili tuwe "LAST GENERATION" wa kuambukizwa na ugonjwa huu hatari wa "SLAUGHTERSISKWASIS"
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  hapana.. si kwa yote!! naomba atuletee mafisadinyongaria kama kule China ili kuepusha maenezi yake kwenye jamii!
   
 9. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Haswaaaaaaa..........Hapa sina cha kuandika. Mkubwa You have made my day!!!!!!!! Big uuuuppppp!!!!!!!!!
   
 10. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ninja niazime kisu chako......Nisaidie mwenzio naumwa....nikisikia harufu ya fisadi homa inazidi........Nipe hicho kisu ebo.
   
 11. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Revenge is the beginning of evalasting revenge. Inabidi tupate njia bora ya kuepusha kunyongana na kuchinjana kwa manufaa ya nchi yetu leo na kesho. Uchungu na visasi mwishowe ni kumalizana.
   
 12. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Maadili yake hutayaweza. You smell too emotional for Ninjutsu Weapons.
  Love is the best weapon of all. Hunger blinds good judgement.
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145

  yani mkuu umenichekesha siwezi simulia yani
   
 14. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kule kote wanakonyonga mafisadi kuna everlasting revenge?
   
 15. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Slaughtersiskwasis haijui mahakama ni kitu gani. Yenyewe haifuati sheria, inachukua sheria mikononi. Na wengi wa wanaochinjwa hawana hatia. Hapa ndipo revengeliosis inapochukua mkondo. Utabaki wewe na spouse wako na mtakuja kugundua kuwa mmeuliana ndugu na nyinyi mtauana.

  Mwisho nchi itakuwa ukiwa tena utupu na giza litaifunika Tanzania. Huu ugonjwa unakwenda kinyume na uumbaji wa Bwana Mungu. Wenyewe unafanya kinyume sijui niite uumbuaji.

  Viongozi wetu inabidi wasidharau huu ugonjwa, yanayotokea tarime yanaweza kutokea pale Lithuli Street sikumoja. Badala ya harufu ya samaki kutoka sokoni pale chini inaweza kuwa harufu ya damu za watu na kinyesi.
   
 16. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,851
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145

  Nimekugongea sanksi........nagonga tena sanksiiiii..
   
 17. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Wee Ninja vipi bana...!! Hii unayoongelea ni totality ya Kiamatosis na huwa siyo rahisi kutokea. Imetokea miaka ya 1945, kisha ikatokea Rwanda na kule Bosnia. Chanzo chake kama ulivyo point ni hiyo slaughtersiskwasis. Ni kweli kabisa kwamba slaughtersiskwasis ni mbaya na ni bora kuepukika kwa bidii zetu na nguvu zote za dola. Maana Kiamatosis ikiingia, hiyo ni point of no return. Hapo tunaanza kusubiria intervention ya UN tu.

  Niliyokuwa naongelea mimi ni moja ya tiba au kinga za slaughtersiskwasis. Kwani kutumia fisadinyongaria ni probiotic bacteria walio friendly kwenye system. Na prescription yake inafata katiba na sheria tulizojiwekea hivyo dose haiwezi kuzidi kimakosamakosa, wala system yetu Watanzania haiwezi kuireject kwa kukosa antibodies au antigens.

  Nimetoa mfano wa China, pia naamini kuna jamii nyingine nyingin zitumiazo fisadinyongaria bila kuwa na negative impact yoyote kwenye jamii hizo. Ni wakati umewadia nasi tu introduce fisadinyongaria kama kinga ya slaughtersiskwasis. Tukishindwa kabisa, basi mimi nadhani ni bora tu-introduce walau tu vibokomatakonicillin kama moja ya antibiotics kwenye jamii yetu.
   
 18. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Maumivu ya kichwa huanza pooole pole...!!
   
 19. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  inatia huruma!
   
 20. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Usiku tulimkimbiza akashube hospitali na laptop yake. Amecheka mpaka mbavu zimeachia, tulipeleka laptop kama kidhibiti ili tupate PF 3 tukakushtaki. Tulipofika Polisi Askari wote waliosoma hii ngoma wamekimbizwa hospitali. Kamanda mmoja asiyejua vizuri kiswahili alifanikiwa kusoma, alipofika kwenye VIBOKOMATAKONICILLIN.........amecheka mpaka amepoteza fahamu.

  Mimi tu nimepona, mimi kukuletea habari.

  TUNAOMBA ULIPIE GHARAMA ZA MATIBABU TU. WE UMEWEHUKA NINI????UNATAKA KUUA WATU KWA CHEKAMPAKAUFELOMANIA.........!!!!!!!!!!!!!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...