Ebu tuchunguze!inawezekana vip bord ipeleke pesa mapema udsm na kuchelesha mist jibu haiwezi kufanya hivyo pesa ilishatoka bord zamani sana kinachotoa ni mchezo mchafu wanaoufanya waasibu wa vyuo vingi hiyo pesa wanaitia katka fixed a/c kwa lengo la kujipatia riba hivyo kadri mda unavyozidi...
Duh kateseka sana mama wa watu jaman!!lakini kitu kimoja wakat akiwa mjamzito katika kujifungua manesi hawakuligundua hilo!!(alama zisizo kawaida) na kwa nn huyo mama hakusema mapema basi alipenda hiyo hali!!
Hii inchi jamani kunamambo inabidi wafanye mahamuzi magumu kwa nn wanakumbatia wahalifu kiasi hiki.kwa jinc hii ni watu wa hali ya chini ndio dhahama za kimahakam halali yao aisee inatia hasira,zaid hako kamchezo ka kutufanyia kiini macho ni mbayaaaaaa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.