Kwa mara nyingine nasema wanaoponda UDOM na Mataahira na inabidi wakapimwe akili,wanapelekwa na hisia na chuki na wivu vimewatawala,.
Nimejaribu kufanya utafiti nikaona wote wanaoponda UDOM ni vilaza especially wanaotoka katika vyuo flani flani ambavyo kwa sasa vinaonekana kufunikwa na UDOM.
Mdogo wangu amemaliza UDOM kwenye college ya I.T mwaka huu, na alipata multiple admission moja ya UDSM engineering, ila akaamua kwenda UDOM kusoma I.S na miaka yote aliyosoma pale alifanya field na sasa anafanya kazi kwenye kampuni flani kubwa hapa dsm inayotoa huduma za Internet (ISP), na yuko nondo zaidi hata ya dogo wangu mwingine aliyemaliza UDSM Computer Science mwaka jana.
Kwa kifupi ukiona mtu mwenye Bachelor kakabidhiwa course afundishe labda anafundisha watu wa Diploma au Certificate, lakini hakuna mtu mwenye Bachelor anayesimamia somo lolote UDOM, zaidi ya kusimamia semina.
Narudia tena nyie mnaoponda UDOM bila kufahamu ukweli ni wanafiki, mataahira, wapumbavu na wazandikimsiopenda maendeleo ya elimu katika nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki UDOM.