Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman...

Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman...

uzuri uzuri ndio nini hasa? maana kila mtu anaelewa anavyoelewa yeye...
 
N kuwa nae tu then jiamini na ujikubali ucmwoneshe uzaifu wako atautumia kama fimbo!!
 
kama hujiamini kweli usithubutu, ila kwa wanaume wanaojiamini wala uzuri wa mwanamke siyo tatizo ni bonus tu. tuongelee mengine.
 
Hi all, kuwa na mwanamke mrembo ni gharama,huwezi kumpa laki 5 kwa week,atleast 1 million kwa week.La sivyo papa ya mujini tutakuwa tunasimamia shoo.
 

wewe wasema
wengi wana wake zao
warembo na wazuri
hizo gharama hawatoi wala mapedeshee
hawasogei kwa wake zao!!acha uongo!!
 
waseme wenzio wenye uwezo,kwa mtaji huo wanawake wataongoza kwa utajiri bongo.
 
Weka picha tuone

avatar186938_1.gif


CC mrembo white girl
 
Wanawake warembo wengi pasua kichwa. Achana nao.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom