Mwanaume Ashitakiwa Kwa Kumtoa na Kumfunga Kufuli Mkewe Ukeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume Ashitakiwa Kwa Kumtoa na Kumfunga Kufuli Mkewe Ukeni

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MaxShimba, Oct 24, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="class: tr-caption, bgcolor: transparent"]Mwanamke Sitabai Chouhan akiwa hospitalini.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  SIKU ambayo mwanamke Sitabai Chouhan alipolazwa katika Hospitali ya Maharaja Yashwant Raoin huko Indore, India, kwa jaribio la kutaka kujiua kwa kunywa sumu ya panya, ndiyo siku manesi walipogundua kwamba mwanamke huyo alikuwa amefungwa kufuli dogo kwenye mlango wa sehemu zake za siri.
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="bgcolor: transparent"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: transparent"]
  [TD="class: tr-caption, bgcolor: transparent"]Mume wa Sitabai, Sohanial Chouhan.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Mume wake aitwaye Sohanial Chouhan (38) alifikishwa polisi baada ya kugundua kwamba alikuwa ana tabia ya kumfunga kufuli mkewe sehemu hizo kwa muda wa miaka minne kwa madai kwamba asingefanya hivyo angekuwa anatembea nje ya ndoa.
  Imegundulika kwamba Chouhan alianza kumwenyesha mkewe madawa ya kulevya na kisha akatumia sindano kutoboa matundu sehemu zote mbili za mlango wa uke wa Sitabai kisha akaweka kufuli dogo ambalo alilifunga kila asubuhi akienda kazini, na kulifungua wakati anaporejea.
  Katika uchunguzi huo, polisi waligundua ufunguo huo ukiwa umefichwa kwenye soksi zake.
  Kisa cha mama huyo kujaribu kujiua kwa sumu ni pale alipogundua kwamba mumewe alikuwa anamtongoza binti yake wa kwanza ili afanye naye mapenzi.
  Mwanamme huyo ambaye ni makenika na aliyemwoa mkewe akiwa na umri wa miaka 16 na sasa wakiwa na watoto watano, alifunguliwa mashitaka ya kudhuru mwili.

   
 2. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  "Yesu rudi yatosha"
   
 3. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aiseeeeeeeeeee babaangu sasa huyu mama alikuwa akitowaje haja ndogo ingali kumefungwa na solex ???
   
 4. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aiseeeeeeeeeee babaangu hiyo hospitali mbona vitanda vyake havina tofauti na vya muhimbili,,,nashanga waheshimiwa wanakimbilia india kutibiwa
   
 5. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Duniani kuna vituko.
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mateso mengie hayapimiki hata kwa kibaba!!! So sad!! Ni wivu au uharamia?
   
 7. Rich 4rever

  Rich 4rever Member

  #7
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh kateseka sana mama wa watu jaman!!lakini kitu kimoja wakat akiwa mjamzito katika kujifungua manesi hawakuligundua hilo!!(alama zisizo kawaida) na kwa nn huyo mama hakusema mapema basi alipenda hiyo hali!!
   
 8. v

  valid statement JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Akili fupi kama ya huyu jamaa huko india ni janga la kidunia.
   
Loading...