Recent content by rhymson

  1. rhymson

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

  2. rhymson

    JamiiForums Tanzania Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

    Anayafuta pakufia tuu huyu mzee, hana lolote zaidi ya kunyima vijana ridhiki tuu.
  3. rhymson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Girlfriend kichefu chefu kweli. Ndio aende hatua ya uchumba huyu?

    Inaeza ikawa huyo ndo wa kufanananae , kaa nae vizuri utamuelewa na mtaelewana
  4. rhymson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

    Dah! Kwani zile picha hakumuonyesha huyo bwabwa wake(bwana wake mtarajiwa).
  5. rhymson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

    Hii ndo iliishia wap vile, mrejesho pls
  6. rhymson

    JamiiForums Tanzania Stori isiyosemwa: Mwalimu Nyerere alimzuia Balozi Joseph Rwegasira kuwaondoa makahaba Jijini Dar

    Huwezi mrudisha kahaba alikotoka ambako ndio kumemsukuma kufanya hivyo. Ila ni kmtafutia mbadala au tumuache tuu aendelee huku akitenda yaliyo mema.
  7. rhymson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Ndo wako wapi siku hizi hao mabikra. Na wazazi wasiku hizi wameanza kuwala watoto kuwatoa bikra
  8. rhymson

    JamiiForums Tanzania Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

    Nikipiga nyingi ni 30 kwa single round. Na hii napiga round 5 kila siku
  9. rhymson

    JamiiForums Tanzania Imekaaje CDF kumpigia salute Mkuu wa Wilaya?

    Ni haki yake DC kupigiwa salute
  10. rhymson

    JamiiForums Tanzania Rais Trump ataka Makanisa, Misikiti na Masinagogi vifunguliwe

    Afungue tuu maaana atafungia mpaka lini ugonjwabhauna hata dalili za kuisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. rhymson

    JamiiForums Tanzania Kwa ubunifu huu Platnumz ataendelea kutamba kwa miaka kadhaa ijayo

    Anajua kupambania kombe Sent using Jamii Forums mobile app
  12. rhymson

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ugonjwa gani?

    Mbona hata mimi naona kama ninao hivi, maana sipendi sana mazoea hasa na watu mazingira ya karibu na kazini Sent using Jamii Forums mobile app
  13. rhymson

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na maneno haya ni neno gani jingine nimelisahau

    Nakupa kidogo tuu, usizoee mimi mke wa mtu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. rhymson

    JamiiForums Tanzania Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

    Chanika primary school. Handeni secondary school. Stefano moshi memorial university college (SMMUCO). Sent using Jamii Forums mobile app
  15. rhymson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyimbo za Bongo fleva zilizowika kipindi hicho

    Jay moe story tatu, na hii nayo bonge la ngoma
Back
Top Bottom