Recent content by Reuben James

  1. R

    Hoja ya mkoa wa Arusha kutopewa nafasi ya uwaziri hata moja kutawala uchaguzi wa Longido

    Kama watu wa Arusha walishindwa kuchagua Wabunge wao ili wawe mawaziri kwann Magufuli awachagulie?....
  2. R

    Je ukijamiiana na mtu mwenye UKIMWI, utaathirika?

    NdiYo, (uwezekano wa kuambukizwa ni chini ya 1% kwa contact moja.). Michubuko au kuwa na vidonda huko sehemu za siri huongeza uwezekano wa kuambukizwa. Pia idadi ya kukutana kimwili na mtu mwenye VVU huongeza uwezekano wa kuambukizwa kama kinga hamtumiii. Sex kinyume na maumbile pia huongeza...
  3. R

    Zitto Kabwe: Serikali haitaweza kukusanya zaidi ya 60% ya makadirio yake

    Kwa kuwa ni mzalendo wa kweli angetoa japo njia mbadala za kuhakikisha kuwa ukasanyaji unakaribia au kufikia asilimia 100. Nchi ni yake hii na nimuajiriwa wetu pia.
  4. R

    Njaa kali mjini nimelazimika kuulizia mashamba ya marehemu babu

    Ada ya watoto huko shule za English medium tuliwapeleka sasa kina eleweka. Mikopo kila kona mpaka hatukopesheki tena. Hakuna rangi tunaachana kuona. Watu wanauza mashamba , viwanja, nyumba hadi magari.....afanaleki.
  5. R

    Usafi wa vyoo taasisi za umma Dar

    Hebu geukieni vyoo tulivyo acha majumbani kwetu, na hasa kule kijijini tulikotoka. Wengi tumekua tukiona choo ni kama shimo la taka ambalo kwa kawaida halihitaji usafi. Wengi humu tunatoka maeneo ambayo nyumba hazina vyoo. Mtu toka mdogo anajisaidia ziwani, ni wazi hata weza kutumia ipasavyo...
  6. R

    Kulazimishana usafi ni halali kikatiba?

    Kwani kuwa mchafu na kuhatarisha jamii kuangamia kwa magonjwa ikiwemo kipindupindu ni halali?? Tumekua wachafu hadi tumeuzoea uchafu na kuona kuwa tukilazimishwa kufanya usafi si halali na ingepaswa kuwepo katika katiba. Swala la usalama wa raia limefafanuliwa vizuri katika katiba. Usalama ni...
  7. R

    Usipitwe, pitia hapa kujua madhara ya chai na kahawa kiafya

    Toxic9, habari hii ina ukweli ndani yake isipokua imekua over exaggerated hadi kupoteza maana halisi ya Somo lenyewe. Msimuliaji anaonyesha kujua Biochemistry lakini siyo kiviiile. Everything to much is harmful, the same applies to Caffeine containing drinks. Katika dose ya kawaida caffeine ina...
  8. R

    Kwanini hatuna sera ya kugharamia matibabu kwa magonjwa yaliyoshindikana kutibiwa hapa nchini?

    Mkuu Salary slip sera ipo na inafanya kazi, ingawa inaweza kuwa haifanyi vizuri kwa utendaji wa kibinadamu. Serikali imekua ikigharamia matibabu ya wananchi wake nje na ndani ya nchi toka zamani tu. Wengi hawatangazwi, wanaotangazwa sana ni wale wanao saidiwa na wasamalia ambao wao wakisha...
  9. R

    Mbunge wa Karagwe(CCM): Jimboni kwangu watu wanaogopa kuoa wanawake wazuri

    Inaweza kuwa Wanaume wa huko Wana tabia za wale wa kule Rombo.
  10. R

    My girlfriend hataki kugegedwa zaidi ya bao 1

    AMechoka kuwa Girl friend kwa miaka 3. Muoe uone kama hujaanza kumkimbia kwa jinsi atakavyo kuwa ana dai mikwaju.
  11. R

    Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

    Mtoto anatakiwa kunyonyeshwa kila baada ya masaa 3 ndani ya masaa 24 na muda wowote akihitaji. Tusijengeane unyanyapaa ili watoto waweze kunyonyeshwa mahali popote mama na mwanae wakiwa na uhitaji....
  12. R

    Upungufu wa madaktari serikali inahusika

    Turidhike tu na kiwango cha huduma zinazo tolewa katika maeneo yetu kwa kuwa ndicho kiasi tulichoweza kuwekeza kwenye sekta ya afya. Kama tunahitaji walau 15% ya bajeti ya taifa iwekwe kwenye afya na sisi uwezo wetu ni 3% kwanini tutarajie huduma bora...tuvune tunachopanda...
  13. R

    Mtindi na maziwa fresh yapi yanatoa sumu haraka?

    Maziwa ni chakula Chenye protein na lactose. Hayanaga kazi ya kuondoa sumu yoyote mwilini. Hili la kutoa sumu ni imani za watu tu zaidi.
  14. R

    Mbunge Peneza (CHADEMA): Sioni jipya bajeti ya Wizara ya Afya

    Ni 3% ya bajeti ya taifa. wakati inapendekezwa Iwe angalau 15% ya bajeti nzima ya nchi.
  15. R

    Hongereni JF members

    Nipo mpya hapa. Nimekua nikijifunza mengi kupitia kwenu. Hongereni na Asanteni Great thinkers.
Back
Top Bottom