Je ukijamiiana na mtu mwenye UKIMWI, utaathirika?

mjomba! UKIMWI haujaribiwi! huo ni zaidi ya ngada, hio kitu inaitwa gusa ukaushwe! uwezekano upo kwa asilimia 20 ila usijaribu kufanya hivyo hadi kaburi litakapokuita kwa amani
 
NdiYo, (uwezekano wa kuambukizwa ni chini ya 1% kwa contact moja.). Michubuko au kuwa na vidonda huko sehemu za siri huongeza uwezekano wa kuambukizwa. Pia idadi ya kukutana kimwili na mtu mwenye VVU huongeza uwezekano wa kuambukizwa kama kinga hamtumiii. Sex kinyume na maumbile pia huongeza uwezekano wa maambukizi kuliko mbele.
 
Inawezekana tena kwa asilimia kubwa. Couples
Nyingi zikipima mmoja anakutwa nao mwingine hana. Jibu la uhakika ni kupima tu.
 
Back
Top Bottom