Mtindi na maziwa fresh yapi yanatoa sumu haraka?

Maziwa ni chakula Chenye protein na lactose. Hayanaga kazi ya kuondoa sumu yoyote mwilini. Hili la kutoa sumu ni imani za watu tu zaidi.
 
Niliwahi kumsikia Dr Isack.Ndodi alishauri maziwa ya mgando ndio mazuri kwa kuondoa sumu mwilini kwa sababu tayali yana bacteria ambao ni wa muhimu kwa Kwa binadamu. Ila yawe ulioyagandisha mwenyewe na sio ya kusindika.
Ninasikia kichefuchefu ! Bacteria kwenye mtindi wanatoa je sumu mwilini? Ama kweli elimu imeporomoka!
 
Mwalimu wetu alituambia..."Milk can be used as an antidote for heavy metal intoxication,never use milk if you are not sure about the type of intoxication".
Ngoja nikuongezee shule...Heavy metals ni kama mercury,lead,Arsenic n.k.Salt ya hizi metali ni sumu ktk mwili na huwa zina'destroy protini za mwili kupelekea matatizo lukuki ya kiafya mpaka kifo wakati mwingine.
Maziwa nayo yana protini,kwahiyo mtu aliyekunywa sumu yenye heavy metal tunaweza kumpa maziwa,hizi metali badala ya kushambulia protini za mwili basi zitashambulia protini za maziwa na kutengeneza "complex compounds" ambazo itabidi tuziondoe badae kwa kumtapisha mgonjwa wetu.Asante kwa kuelewa
 
Elimu bado inahitajika,kwann mtu akinywa sumu akipewa maziwa anatapika??kwann mtu akila kitu kibaya au sumu inatembea damuni akinywa mtindi anaharisha ile sumu!kwann mtu akifanya kazi kwenye maeneo yenye vumbi jingi au moshi atataka maziwa? kwann wavutaji sigara wanahimizwa kunywa maziwa kila siku?
Na hapa bado wanasema maziwa hayakati sumu...So which is which??? au tuseme yanasaidia kupunguza sumu but sio sumu yote?
 
Back
Top Bottom