Mbunge wa Karagwe(CCM): Jimboni kwangu watu wanaogopa kuoa wanawake wazuri

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
'Jimboni kwangu watu hawaoi wanawake wazuri’, kauli imetolewa na mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa (CCM) wakati alipokuwa akichangia hotuba ya Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo alisema watu jimboni kwake wanaogopa kuoa wanawake wazuri kwa sababu wanachukuliwa na wanajeshi.

Bashungwa wakati akichangia hotuba hiyo ameiomba Serikali kuhakikisha inaimarisha ulinzi kwenye kata ya Bweranyangi ambako wanajeshi wengi hulinda mpaka wa nchi.



MY TAKE:
Hawa ndio wawakilishi wetu
 
maskini,hv mnawaza nn wabunge wa CCM?? mbona hamjielewi?? inawezekana pa1 na sababu za kitoto walizotoa kutufinya ktk bunge live,hii yaweza kua sababu isioonekana sn kwa watu( nyuma ya pazia), labda walimshauri bwana john bunge lisioneshwe live kuiepuka hii aibu ya wadau wake pale mjengoni.hiyo ndo yakuongea bungen???
 
wabunge wa CCM tumewazoea siku zote hawana hoja ila naona kama safari hii ni too much
 
Ndizo akili za sarakazi za kijamaa, wajamaa karibu wote ni "CLOWNS". Hajui kauli yake isiyo na kuwajibika ni matusi, inamaana wanawake walioolewa na raia jimboni kwake ni wabaya. Mbwembwe zao km wamejipaka mavi halafu wanawapa watu mikono.
 
kwani wanawake wabaya wakoje? mimi naona ni kumdhalilisha mwanamke. " beauty is according to the eye of the ...." mwenye jicho lake pekee ndiye anajua uzuri wa mwanamke. wewe umdhaniaye siye mzuri mwenzio amwona Miss na kipusa! Huyo mbunge atakuwa anacheti fe.i!
 
Ila yeye kaoa mwanamke mzuri Jennifer Bash aka Mama Alaska, Alichoongea ni kweli japo wengi mmedharau mchango wake. Wanajeshi huko kwetu Karagwe wababe sana.
Bushangaro, Chabalisa, Nyabiyonza mabinti zenu shape zao vp.Chambueni wa kwenu na wale wenye sura zenye unafuu turushieni huku.Bashungwa mkewe hatakanyaga kwenu wajeda matatizo.Ah! Bashungwa mambo mengine si lazima kusema.Angalia sasa wahuni wametushikia bango mtandaoni ss tuliokupeleka mjengo.
 
Kwa sura iyo!!! Hakika kuna wavuta bangi na walevi.
Mkuu mante kwa wale wanaopiga ganja cjawahi kuwackia wakiongea pumba pale hata cku moja,hao watakua wazee wa kukitwanga tu.nawajua ganja smokers pale,japo wachache lkn ucwaingize humo
 
Back
Top Bottom