Sidhani kama wanaweza ruhusu hili, la taasisi kujitoa sababu kuna mpango mkubwa wa kuifanya psrs kuwa chombo imara na siku zijazo hata zile taasisi ambazo bado zina ajili zenyewe nazo zipitie PSRS.Kuna ujenzi wa ofisi zao unaendelea unaogharimu bilion kadhaa kama sehemu ya mpango wa kuimarisha...
wale mademu ambao ukimtumia message ukaweka neno moja la kingereza anakwambia niandikie kiswahili sijui kingereza lakin mkiwa name peana analia kingereza YES BABY ***.. me na mengine mengi
Ndugu hata hizo za halmashauri siku hizi kwa watoto wa masikini ni probability kupata,kipindi naelekea kumaliza masomo yangu ya chuo nikiwa discussion nyumbani kwao rafiki angu watu wa kipato cha kati nilimsikia mzee wa ile familia akimwambia rafiki angu "INABIDI MFUNGE MKANDA KITAKACHOPATIKANA...
Hatuzungumzi idadi ya nafasi kuwa ngapi na kuitwa wangapi tunazungumzia mtihani kuvuja tena dhahiri shairi alafu taasisi usika kuziba masiko ni kweli ukosefu WA ajira ni janga la ulimwengu hasa nchi zetu zinazoendelea lakin hata hicho kidogo kilichopo kismamiwe kwa haki inayestaili pata apate...
Waswahili wanasema kukiri kosa sio udhaifu ni namna ya kujiimairisha na kuweka misingi bora ya kulizuia lisitoke lakini hali ni tofauti kwa taasisi hii ya umma iliopo chini ya ofisi ya Rais baada ya mitihani kuvuja wameweka pamba masikioni kwa kiburi kikuu wanadai hakuna mitihani uliovuja...
Binafsi nimekata tamaa na hilo tatzo nimetumia kila tiba Hakuna nimeenda mapka agakhan nikukutana na professor wa magonjwa ngozi lakn hakuna nafuu ni zaid ya miaka 15 sasa na hilo tatzo now nimeamua ishi nalo tuu
Kwa tafsiri Sahihi Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini sio ugonjwa xo hiyo malaria na kipindupindu, mafua na magonjwa mengne yote kwa Ujumla wake ndo Ukimwi coz mtu huwezi pata Malaria au Kipindupindu au Mafua kama kinga zako za mwili ziko stable XO MAREHEMU WOTE WAMEKUFA KWA UKIMWI KASORO...
MAGIC JOHNSON Mcheza kikapu wa Marekani toka mwaka mwaka 1993 alipimwa na kubainika kuwa na Virusi vya Ukimwi Wakati huo mkewe alikuwa na mimba ya miezi 3 Mpaka leo Magic johnson anaishi na mkewe yupo safi na waliongeza watoto zaid but binti yao Mkubwa nw ana miaka 24 Labda mkiniambia Ukimwi...
Hamna Ukmwi siku hizi ungekuwepo mm ningekuwa nao coz nimeuza mechi sana kwa wahaya but kila nikipima niko safi pia tumepga mitungo mara nyingi mademu wa club SO SIAMINI BINAFSI KWAMBA UKIMWI BADO UPO
Wafu hawajui neno lolote ukiisha kufa ndo basi tena unangoja hukumu (kihama),aijalishi umezikwa na sanda au suti,umezikwa london au Kahororo au pengine ujazikwa uliliwa na mbwa JAMBO LA MSINGI NI KUTENDA YALIYO MEMA TUNGALI BADO TUPO HAI ILI KUJIANDALIA MAHALI PEMA SIKU YA HUKUMU COZ WAFU...
Ebu acha kuhoji maisha binafsi ya mtu wewe unajua kilichosabibisha
Dimond mpaka kutokuwa karibu na baba ake kuna kipindi BIBI ake Mond alifkia hatua mpaka akawaita wachawi yeye na mamake kisa tuu walitakaenda mtazama mzee wake akiwa amelazwa kwamba wamenda mmalizia mwanae hospital.....Bad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.