Recent content by Restarting

  1. Restarting

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anatumia mbinu gani za kiuongozi?

    Alisoma mchepuo gani kwani...na shule gani?
  2. Restarting

    JamiiForums Tanzania Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

    ila hizi tofauti zinachanganya sana ili kupata uelewa japo kidogo, tu refresh back kipindi hikooo cha akina adam(A.S) then tudondoke mdogo mdogo hadi kwakina Abraham/Ibrahim (A.S) hadi tufike kwa Yesu/Issa (A.S) na hadi tufike kwa Muhammad (S.AW). Then tunaweza kupata kapicha hapa kaukweli japo...
  3. Restarting

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza niliijua maana halisi ya "Mtoto wa kishua" kupitia huyu dogo. Kuna watoto wamezikuta pesa aisee!

    hatari sana, nakumbuka maisha ya boarding O level mimi porcket money yangu ilikuwa elfu 20 ila mwamba mmoja alikuwa anapewa mshahara wa baba angu porcket money yake.
  4. Restarting

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha IGP Sirro kutoa hukumu ya Ugaidi wa Mbowe huku kesi ikiwa Mahakamani ni Uhalifu. Napendekeza kesi hiyo ifutwe haraka

    Wakiguswa kidogo tu kelele kibao, acha dawa iwaingie. Kisha ndio watajua kama hii ni nchi na ina rais
  5. Restarting

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujasiri wa JWTZ katika kulinda! Apambana na Chatu

    Tatizo la chatu akiona chakula tu achezi mbali...yule chatu japo angefukuzwa na imani angerudi tu kuangalia menu yake kama imezubaa apite nayo...nilifahamu hii tabia kipindi mikumi kulikuwa na shughuri ya uchimbaji wa mitaro ya kulaza cable za internet: wakati shughur inaendelea kulikuwa na...
  6. Restarting

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu za usiku kutoka kwa ndugu wa karibu huwa zinashtua sana

    Nakumbuka nilimkataza mama yangu asipige simu usiku wa manane kama hakuna shida youote kwasababu huwa napata mshtuko nikiona simu ya ndugu wa karibu usiku wa manane kwa kuhisi huenda kuna shida au tatizo kubwa limetokea
  7. Restarting

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Simu za Xiaomi hazipatikani kwa wingi Tanzania?

    Natumia hii xiami ila onePlus hatari sana
  8. Restarting

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimempenda Msichana ambaye hapendi Mwanaume mwenye mtoto. Mimi ninaye mtoto ila hafahamu

    Wasajiri line wenzio.tunamaliziaga shida zetu,
  9. Restarting

    JamiiForums Tanzania Sanamu ya Nelson Mandela: Nini maana ya sungura kuchongwa ndani ya sikio?

    Ilikuwa ni mjadara mkubwa sana huko south africa ikaonekana haka kasungura hakina maana yoyote ikabidi wakitoe, so kwa sasa ilo sanamu halina ako kasungura sikioni
  10. Restarting

    JamiiForums Tanzania Kwanini bango la "Kijazi Interchange" halipo tena?

    Daraja si lipo, jina sio shida kila mtu aliite anavyotaka
  11. Restarting

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Wasaidizi wake wapunguze pressure; support aliyonayo ni kubwa sana

    Tushamuambia, haya twendeni barabarani
  12. Restarting

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Wasaidizi wake wapunguze pressure; support aliyonayo ni kubwa sana

    Huu ushauri upo vizuri sana
  13. Restarting

    JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Acha chuki utakufa kifo cha kisengerema kama mtangulizi wenu
  14. Restarting

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

    Sasa hivi kuwa wewe wa kwanza kukasirika, usimchekee mwezi mzima ishi nae kama kambi ya jeshi...
Back
Top Bottom