Rais Samia na Wasaidizi wake wapunguze pressure; support aliyonayo ni kubwa sana

Watu hawaendi barabarani kwasababu ya CCM kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wananchi, na sio vinginevyo, kama unataka kuthibitisha uongo wako Chadema hawana support waambie CCM na mama yenu wasiwatumie kina Mambosasa halafu uone kitakachotokea, unaota ndoto mchana.
Tushamuambia, haya twendeni barabarani
 
u
Tukio la juzi la police kuvamia wa mama wa chadema ilikuwa ni aibu sana, yaani wame react baada ya Mbowe kusema atapeleka watu barabarani? Trust me hata leo Chadema wakisema wanaingia barabarani hawatapata sapoti ambayo polisi wanadhani itakuwepo, punguzeni mihemko ya kitoto.

Tena kama itatokea wakapata watu basi waacheni waandamane penyezeni watu wenu watakaofanya fujo wapasue magari na maduka kama hamtaona public inamgeuka Mbowe milele.

Rais Samia kabadilisha hali ya hewa ghafla leo hata mziki wa dansi uliokuwa umejifia ghafla umerudi watu wanatunza tena hela jukwaani, walioficha hela ardhini wanazitoa sasa, punguzeni mihemuko jamii bado iko na mama kuna propaganda kwamba petrol imepanda bei ksababisha mama ndiyo sh 100 imepanda lakini soko la dunia imepanda sana nikashangaa kuona wengine wanasema kenya na jirani wako cheap hivi mnajua kinachoendelea kenya kweli?hadi gesi ya kupikia imepanda asilimia 6.

Polisi punguzeni mihemko mnajidhalilisha sana, wakiaandamana waacheni pachikeni wahuni katikati yao wafanye fujo wapasue hata maduka na magari mtakuja kunishkuru baadaye.
Una akili kweli wewe?
 
Kwahiyo watu wote 60M nchi nzima mpaka watoto ni CHADEMA?

Duuuh
Binadamu sio mnyama ,huazia eneo kwaeneo na huenea umma mzima hukipuka ,sikweli kila mwanaccm anafagilia umburula huo ,kikubwa kujiandaa vyama vya upinzani vizuri
 
Siamini nachokisoma toka kwa mtoa Mada. Huyu ni Mtanzania kweli au pandikizi toka Ntarahamwe kwa majirani kwani mmejaa sana humu mpaka mnataka kuhalalisha makabila yenu ndani ya Tanzania. Hatari sana huyu.
 
Tukio la juzi la police kuvamia wa mama wa chadema ilikuwa ni aibu sana, yaani wame react baada ya Mbowe kusema atapeleka watu barabarani? Trust me hata leo Chadema wakisema wanaingia barabarani hawatapata sapoti ambayo polisi wanadhani itakuwepo, punguzeni mihemko ya kitoto.

Tena kama itatokea wakapata watu basi waacheni waandamane penyezeni watu wenu watakaofanya fujo wapasue magari na maduka kama hamtaona public inamgeuka Mbowe milele.

Rais Samia kabadilisha hali ya hewa ghafla leo hata mziki wa dansi uliokuwa umejifia ghafla umerudi watu wanatunza tena hela jukwaani, walioficha hela ardhini wanazitoa sasa, punguzeni mihemuko jamii bado iko na mama kuna propaganda kwamba petrol imepanda bei ksababisha mama ndiyo sh 100 imepanda lakini soko la dunia imepanda sana nikashangaa kuona wengine wanasema kenya na jirani wako cheap hivi mnajua kinachoendelea kenya kweli?hadi gesi ya kupikia imepanda asilimia 6.

Polisi punguzeni mihemko mnajidhalilisha sana, wakiaandamana waacheni pachikeni wahuni katikati yao wafanye fujo wapasue hata maduka na magari mtakuja kunishkuru baadaye.
Sidhani kama jukwaa hili linakufaa. Jukwaa hili ni kwaajili ya watu wenye akili yimamu.
 
Unapata wapi muda wakuonyesha ujinga wako kwenye mitandao.bure kabisa.
 
Back
Top Bottom