Freeman Mbowe anatumia mbinu gani za kiuongozi?

Mataahira wa "maliyemu" mnafahamika humu JF!Wewe unajitwalia namba nne au tano kwa ujinga.Akiongewa maliyemu mnashikwa na uchungu wa kujifungua mapera!
We ni taajira namba moja kuamini DJ na yule mlelewa ubelgiji watakuletea unafuu wa maisha
 
..hata Maza alipata zero form 4, lakini leo ni Rais wa Jamhuri.

..kupata zero form 4 au 6 haimaanishi kwamba mhusika hatafanikiwa ktk maisha au kuwa msaada na kiongozi ktk jamii au nchi.
Kupata madhara form 6 kuna madhara makubwa kwa taifa kimaendeleo
 
Unaacha kufufua mzoga wa bibi yako unaenda kufufua wa wengine unakuhusu nini
Unamwita nani wengine? Lile jinamizi halikuwa binadamu. Lilikuwa ni shetani lililopita duniani kwa kitambo kidogo! Lilikuwa 'doxa'= An appearance that dissolved.
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Kwani ukiwa Msukuma lazima uwe mjinga?

Na ndo maana ukaitwa jalala, hovyo kabisa kama Mungu wenu aliyekwenda zake kule Buriri
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Sasa nyumbu ni nani atashindwa kuwaongoza? Bado unafikiri chakidema kuna watu? Waliambiwa kuna mtu anaitwa Lema aliibia sana TANAPA ila walivyosikia ni mwanachama wao ooh ooh ooh kasome mihango yao. Hao hata wakinyea hadharani watajisifu
 
Akili za kuvukia barabara hizi. Kujenga ofisi ni uchumi??

Tulikuwa na mwenyekiti wa chama fulani ambaye ni mshamba, limbukeni na muuaji akawa rais akaanza kupora fedha na kutaka kubadilisha Kijiji chake kuwa jiji hatukusema tukakaa kimya. Sukuma gang upo??
we unavyoelewa uchumi ni mdudu gani
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Unanitaja kwa kunipaisha tu lakini huna ushahidi wowote ule , Sasa baadaye nikilamba tuzo ya JF mnakusanyika kwa Waganga kuniloga kama mlivyofanya wiki iliyopita .

huyu Mstaafu naye tuko naye kwenye kikundi chetu ?

FB_IMG_1589397986327.jpg

Au huyu naye ?

Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram%3A_%E2%80%9CMwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana...jpg
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Duuh
 
Alisoma mchepuo gani kwani...na shule gani?
 
Hii post ime back fire! Umewapa nyumbu nafasi ya kutiririka Mengine tulikuwa hatuja yafikiria. Inabidi kufanya analysis kabla ya kupost!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom