Kaka kama hiyo one point two unaiona kubwa endelea nae halafu tutakuzika ndani ya mwaka huu unaomba ushauri wanini kwa kiruka njia kama huyo hebu muache haraka sana kabla hajakuletea magonjwa.
mungu akupe moyo wa subira dada remija katika kipindi hiki kigum neno la mungu linasema tushukuru kwa kila jambo basi nasi tushukuru kwa hili pia bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
changieni mada husika wala msiitafasiri biblia kwa jinsi mnavyoelewa ninyi, katika garika nuhu aliingia yeye na mkewe na watoto wake na wake za watoto wake ndio maana waliendelea kuzaliana.
pole sana ila tungekufanyia part ya kukuaga ingekua nzuri sana kwani zawadi ambazo tungukupa ungekwenda kupunguza deni kwa huyo jamaa labda hasira yake ingepungua.
sitamuuliza tena juu ya chakula hata hivyo atakuwa ana matatizo huyo ninaamini hata humo ndani amani haitakuwepo sio upande wa chakula tu hata mambo flani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.