Wanawake iweni makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake iweni makini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Jan 5, 2012.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,648
  Likes Received: 4,383
  Trophy Points: 280
  1/3 wanawake wanamatatizo ya maumivu wakati wa sherehe za muungano. Pia matatizo ya kutopata watoto na uvimbe wa tumbo la uzazi vimeongezeka sana kulinganisha na miaka ya nyuma.

  Sijajua lakini tatizo kamili lakini wanawake hutumia madawa mengi sana hata mengine yasiyo kuwa na ubora hasa yale ya uzazi wa mpango na vipodozi.

  PIA IWENI MAKINI NA VIJIVAZI PRIVATE UKILINGANISHA NA HALI YA HEWA.

  Tusibugie kila kitu.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ni kweli, hata kuchelewa kuanza kupata watoto au kupata watoto wachache sana nayo pia huchangia.

  Na akina mama wapende kunyonyesha watoto wao kwa muda mrefu
  Kutonyonyesha inaongeza nafasi ya kupata kanza ya matiti
  Na akina baba keep sucking kipindi ambacho hamna watoto wa kunyonyesha, naskia inasaidia pia
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Na kutoa mimba wapunguze. . . .
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Teh et teh duh kazi kweli kweli
   
 5. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,648
  Likes Received: 4,383
  Trophy Points: 280
  Hahaha, Kongosho ebu nifafanulie hiyo red.
   
 6. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 773
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 80
  Your Avata says it all!!
   
 7. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,321
  Likes Received: 2,307
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kaka wng alipata kitu kinaitwa fallopian tube dilation kulisolve tukashauriwa tulete mtoto otherwise hatazaa tena kwa hiyo nina kamjomba kenu naitwa baba.Anyway yote ya mungu.
   
 8. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimependa sana ushauri uliotupa wanaume,nitazingatia.
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  na sabuni za kuoshea makemikali hayo mpunguze

  kudumbukiza vidonge hususan vya kusafisha K muache

  usafi wa eneo husika, na check up muhimu
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa ushauri.
   
 11. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,648
  Likes Received: 4,383
  Trophy Points: 280
  Kweli , wanajiremba hadi wanajiharibu.
   
 12. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kuna kaukweli aisee ...
  Last month tulimpeleka shemeji yangu kufanyiwa upasuaji wa kivimbe tumboni (fybroid) tukakuta kitoto kidogo cha miaka 13 nacho kina fibroid. Dr alinieleza zamani ugonjwa kama huu ulikuwa unawapata wadada wenye umri wa kuanzia 35 ambao walikuwa hawajazaa. Siku hizi sijui tatizo nini, I think, there is something wrong somewhere!
   
 13. r

  rehema nyuda Member

  #13
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utoaji mimba ni hatari sana inaweza kupelekea kutopata mtoto kabisa!!! sio wapunguze waache kabisa, ninapenda sana koment zako dada lizzy.
   
Loading...