Nisaidieni kumuokoa mke wangu mtarajiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni kumuokoa mke wangu mtarajiwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Grader, Jan 17, 2012.

 1. Grader

  Grader JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 446
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu,nawaomba mnisaidie kwani mke wangu mtarajiwa siyo muaminifu kwani anazini hovyo na watu kila anavyoona yeye sijui nifanyeje?
  1. yeye anafundisha kwenye shule moja huko Tabora na mimi nafanya kazi kwenye kampuni ya ujenzi Dar.
  2. Namsaidia kila kitu ikiwa pamoja na wazazi wake pia LAKINI kweli kunguru hafugiki na kila kukicha anaendeleza dozi ya wanaume.
  3. Wakati wa likizo ndiyo kubwa zaidi amenidanganya anakuja huku Dar,kumbe amekwenda kwa mwanaume mwingine.
  4. Bibi yake anamjua huyo jamaa mwingine anamfichia.
  5. Ndugu zangu nitaongea mengi LAKINI moyo unaniuma hali ambapo nimempenda mtu lakini ananifanyia hivyo hali ambapo nimegharamia hela nyingi kwenye mahali pekee ni Tsh 1,200,000/-
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Piga chini fasta...!!
   
 3. r

  ritired cube Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka huyo sio demu kimbia fasta kunguru huyo atakusumbua ndani mwishowe wata gonga hata kwa buku
   
 4. K

  Kwaito Senior Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yan hapo wala huhitaj ushauri,Ukikumbuka UKIMWI upo na unaua then jibu utalijua
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  Grader pole saana kaka... Kweli umependa... Na wewe hapo ullipo hapo sidhani kama hata waweza kubali ushauri... Kwa muktadha wa kufahamu yooote hayo nilo weka blue bado unataka ushauri na bado umejiandaa kutoa mahari ya 1.2... We kaka wewe Mwanaume wa wapi? Dah! Kweli Umejaliwa roho nzuri.... Naomba elezea... Unataka ushauri wa kumbadilisha tabia ama wa jinsi ya kuvumilia? Maani ni dhahiri mpango wa kumuoa uko pale pale.... Na take note: Lazima atakuendesha hivo just brace yourself.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  umegandishwa nae kwa gundi....?
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  1,200,000 ni ndogo sana kushinda uhai wako pamoja na uthamani wako, huwezi kuishi na kicheche hata siku moja ukawa na amani moyoni, hapa piga chini uanze maisha mapya wanawake wako wengi tena wenye heshima na adabu, kumbuka tabia ni sawa ngozi kuibadilisha sio kitu rahisi
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Pole kaka, mapenzi sio mateso. Anayekupenda hawezi kukufanya usononeneke na kukosa raha. Chukua hatua.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kama wewe ulivyoganda kwa desh desh.
   
 10. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  aisee hiyo hela ndogo sana we sepa tu.....hakufai huyo
   
 11. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushauri juu ya hatua za kuchukua umepata, sasa umeshamtumia sms kuwa umemwacha rasmi???
   
 12. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Paka mapepe huyu hakufai, pesa inatafutwa sio uhai asikulete maradhi,shukuru mungu umemjua mapema, usisikitike wapo wengi wasio kua na dhiki za roho kama za huyu ....
   
 13. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,101
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hakuna wanawake wengine...wambie wa kurudishie chako usepee 1.2 maishaa haya parefuuu
   
 14. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Pole kaka,wewe ni mwanaume wa aina yake huyo mwanamke atakuwa hakupendi atakuwa amekuweka kama kitega uchumi..
   
 15. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  drop it like its hot...
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Unataka ushauri gani tena zaidi ya kumpiga chini???? Umeshayajua yote hayo tena unataka ushauri gani?? Fanya maamuzi we mwanaume sijui wa wapi???
   
 17. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  kaka una moyo kama siyo kifua. Yani mtu unajua ni fagio kiasi hicho na bado unampenda.. Uwe mwangalifu na gonjwa hili!
   
 18. r

  rehema nyuda Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka kama hiyo one point two unaiona kubwa endelea nae halafu tutakuzika ndani ya mwaka huu unaomba ushauri wanini kwa kiruka njia kama huyo hebu muache haraka sana kabla hajakuletea magonjwa.
   
 19. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  atakuwa wa filipino huyo......
   
 20. s

  sindo Senior Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Piga chini fasta
  Sidhani kama unahitaji ushauri, ili iweje?
   
Loading...