I love my wife but...

Jamani si washinda kazini ..... Mkeo anakua anaona hizo simu inakua vipi? Au ndo mambo ya weekends? Hapa Sweetie a.k.a Kaizer kuna kitu anatetea akijua mwenyewe! lol (@ Kaizer...Sori Lov')

AD umeona eehhh
huyu kuna kitu anaficha maana anasema akiwa na wife ndo simu zinaleta kasheshe
May be atuambie yuko na wife ofc moja
Ila kama sio kuna kitu unaficha mkuuu
 
Alichosema Maundumula ni hiki hapa Rocky,

Sasa hebu nambie manake na wewe una mke kama mimi, do you have such a situation at home? lol
nikuulize shem? kama mwanaume baba wa familia upo sebuleni na watoto na ndugu labda upo bize unachati chati hv unadhani iyo familia inakuchukuliaje? kila saa ngriiiii sms unaaza kutembeza vidole tena simu ngrrrrrrrrrrrr loh aibu bana
 
Huwa inaudhi mbaya sana
Na uko kati kati ya mazungumzo muhimu au mkeo anakuambia jambo la muhimu
Unajua tena hata radhi humuombi unaendelea na kupokea simu au kutuma sms as if hayuko pale
 
kumbe wewe mgeni? karibu sana jf ,ndio ni mume na mke . tulikula mchele hapahapa.
kama unaitaji nyumba ndogo nipo.hii ndo jf everything under one roof brother

Teh teh kama unaweza kupambana na La Femme Fatal sawa :lol:

Mimi sio mgeni sema nilikuwa naishia kwenye ulingo wa siasa kule hapa nimeanza muda si mrefu
 
Kumbe Kaizer na Asha Dii ni Kapo :lol:

Veri naisi

hahahaha..... Karibu saana nyumbani... Uje na wife walau tufahamiane (na wanenu kama mmejaliwa....) Wetu wapo boarding thou...lol... Kama wapenda beer nafikiri ushajionea avatar hapo ya sweetie yajieleza kabisa!
 
Teh teh kama unaweza kupambana na La Femme Fatal sawa :lol:

Mimi sio mgeni sema nilikuwa naishia kwenye ulingo wa siasa kule hapa nimeanza muda si mrefu
siasa wanasemaje huko? sisi tupo hapa kimalavidavi zaidi.karibu sana mpaka uvunguni
 
AD umeona eehhh
huyu kuna kitu anaficha maana anasema akiwa na wife ndo simu zinaleta kasheshe
May be atuambie yuko na wife ofc moja
Ila kama sio kuna kitu unaficha mkuuu

Mimi hapa nahisi tu Sweetie atafuta wanachama.... Labda akinijibu post yangu ya mwisho nitaelewa vizuri kama mamtetea ama Lah!
 
hahahaha..... Karibu saana nyumbani... Uje na wife walau tufahamiane (na wanenu kama mmejaliwa....) Wetu wapo boarding thou...lol... Kama wapenda beer nafikiri ushajionea avatar hapo ya sweetie yajieleza kabisa!
ahahaaa yaani upo ndani ya hijabu uku unapromoti kinywaji sis ngoja malaria sugu akushike
 
hahahaha..... Karibu saana nyumbani... Uje na wife walau tufahamiane (na wanenu kama mmejaliwa....) Wetu wapo boarding thou...lol... Kama wapenda beer nafikiri ushajionea avatar hapo ya sweetie yajieleza kabisa!

Ahsante,

Dah aisee tutakuja ,lakini beer hapana lanakum sheitwan :lol:

Watoto bado ndio tupo kwenye mchaka mchaka wa kutafuta
 
Yaani sijui ni mimi nimepotea au ni wewe??!! Siku hizi hata salaam sipati...au ndo Sweetie wako siku hizi amekuwa mkali kama wa Mahudumula.......:) :):lol:

Happuch nimetuma salamu.... Sweetie hajakufikishia..... Naomba nikusalimu dear..... Mie ni mkali Happuch lakini sio kwako... Yaani wee ndo mmoja wa wale nakuacha nae week nzima na nakua na amani kabisa (na hali ni colleague wake) but hapo hapo nina wadogo kama mdogo wangu mrembo hapa Smiles.... naona nisimalize....lol
 
Ahsante,

Dah aisee tutakuja ,lakini beer hapana lanakum sheitwan :lol:

Watoto bado ndio tupo kwenye mchaka mchaka wa kutafuta

aah!! Kumbe nyie ni wabichi kabisa.... No wonger... "young love" lol.... So wonderful... hii ni wakati wake mkeo ataacha mwenyewe mda sio mrefu... Nitakupa number ya simu mniarifu chakula gani mwapenda... walau mfurahie siku hio.
 
Sweetie tatizo wewe you have a doctorate ya ku manipulate maneno as a result ya reading between the lines... (that makes me so proud...lol). Kwa the way umeweka haya maneno uko sahihi kabisa!

Na Love take note hapa tumesikia upande mmoja wa shillingi, kwamba mkewe ni mjinga to the extent asijue na realise kua haiepkiki mume awe na colleague wa kike ambae waweza kua close? Siamini (na kama ni kweli namuonea huruma Maundu); Mie naona mpaka wife kalalama lazima hizo chatting zimevuka mpaka.... Mbona wee una wengi tu wawasiliana nao but ukisha ingia ndani I have your attention hata kulalama haiwezekani maana usha prioritise kipi/nani ni mhimu na wakati gani.... Na that is the way it is supposed to be.... About the calls I don't have to ask Sweetie.... I trust you....lol

Umemuona Happuch? mwambie namsalimu... (with Love)

Kerren....Sweetie AshaDii anakusalimu...with Love Lol
 
Happuch nimetuma salamu.... Sweetie hajakufikishia..... Naomba nikusalimu dear..... Mie ni mkali Happuch lakini sio kwako... Yaani wee ndo mmoja wa wale nakuacha nae week nzima na nakua na amani kabisa (na hali ni colleague wake) but hapo hapo nina wadogo kama mdogo wangu mrembo hapa Smiles.... naona nisimalize....lol

Asante dear kwa salaam, zimefika dear!

Basi naona sweetie wako ametingwa tu siku hizi, ndo maana hatuonani! ASANTE kwa kuniamini! Nami nakuhakikishia, ukinichia will behave well..:)

Have a blessed day dear!
 
Back
Top Bottom