ngoja nikwambie ..mung anayo din na yy ndio alieileta hii dini..na maana ya neno din ni mfumo wa maisha kwa kila mwanaadam alioletewa na mung ..kwaiyo din ya mungu ni uislam,..ndo din yke na na alioileta hpa.dunian pasina nyingne. sura ya 3:19
tarime vijijin km siko sei ni chadema eeh.eeh..bac km ni upinzan sahau cz kwan hujui utawala huu unaminya maendeleo kwamajimbo yanayoongozwa na upinzan..km hulijui ilo polee mkuu.
yah that's true mswahil msaf sana kuhusu mazingira ni hal ya uchumi tu..
ila point ya mwisho kuhusu kutumia maji choon baadh ya dada zetu hasa hawa Christian hupenda kutumia toilet paper cjui kwann au ndo wameiga mila za kimagharib kwa wazungu..inaboa kwakwel ndio mana magonjwa ya UTI kwa...
saf..mkuu nadhan km unekuwa msim mzur wa hal ya hewa mkuu ungeenda tu bush ujichimbie ekga ekga ya mahind yko kwa laki tano upateyako inatosha na ukivuna una una km 1.5m had 8..kwa mawazo yng kwako.. n.cz ht mimi ndo nimetokea huko kimtindo jpo bdo cjafika napotaka ila jpo cjafika.ila ndio nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.