Mouber
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 216
- 216
Waziri Mkuu Mh kasimu Majaliwa Amesema serikali Imepanga kusambaza umeme Katika vijiji 8000 kote Nchini, Waziri mkuu Amesema kuwa Serikali imejipanga kusambaza umeme kupitia wakala wa Usambazaji Umeme Nchi REA na pia amesema mpaka kufikia May 30 mwaka huu wilaya ya Sumanjiro itakuwa inanufaika na Uneme huo.
Source East Africa habari
My take:
Serikali Haya matamko ya kwenye Majukwaa kwa sasa muyaache tusifanye sana Siasa wakati tuna kauli Mbiu ya HAPA KAZI TU .
May 30 sio mbali acha tusubiri Huo Umeme katika vijiji 8000