1. Makonda anatakatisha fedha chafu za GSM hapo hapo dar ikulu ilipo wewe umekaa kimya tu.!
2. Makonda anatakatisha pesa za wale jamaa wa dege beach kigamboni ambako ng'ambo yake ipo ikulu, umekaa kimya tu, huoni?
3. Makonda anawajengea bakwata ghorofa, wewe hujiulizi tu kwamba rc anawezaje kujenga ghorofa wakati wewe umetumikia zaidi ya miaka 20 kwenye nafasi ya uwaziri na hujawahi hata kujenga kanisa?
4. Makonda anawapa wakina Tid, romy jones na kina tunda milioni mbili mbili hapo hapo ofisi yako ilipo na wewe huoni?
Swali langu mheshimiwa sana Rais unategemea sisi wananchi wako tutakuamini kwenye vita ya ufisadi kama haya tu yanayotokea kwenye mkoa mdogo kijiografia ilipo ofisi yako kuu umeshindwa kuyaona?