Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,812
- 44,611
Wewe dada wewe mwenzako anaongelea madndeleo jimbon kwao wewe umaleta habari za heche kupayuka hovyo hovyo bungenJohn Heche mbona sio mkimya bungeni mkuu, au hufuatilii bunge au ni mambo gani unataka ayazungumze na hajayazungumza?
Kupayuka hovyo hovyo kutamusaidia nini mwananchi anyetaka zahanati, tena kupayuka kwenyewe kutetea wauza ngada