Recent content by regnaldshirima

  1. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Miaka 5 ijayo nahisi watakuwa na Lugha yao!

    yechu yechu dingii,lichuga tunabofonga maslang yetu,hao mashori wa dar wakituletea lomoni ,tunawapa mabam bam, majabal na mabeto alaf tunawadownload mamanegram .haina noma arif mim nakula fasi ya coment g g ya. Limoro
  2. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Bei za ndege kimataifa-Tupo juu KIA VS Nairobi

    Kujadili nauli ya ndege na usafiri Wa kijijini kwenu in bodaboda jua umaskini unakunyemelea
  3. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Haya ni Madini gani?

  4. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    usamehewe hata shetani hajawai kosoa uumbaji wa Mungu....kazi zake hazina makosa. laiti macho ya mwanadamu yangefunguliwa kwa dakika moja tu viumbe ambavyo ungeviona sijui kama sekunde 15 ungemaliza ukiwa hai
  5. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wavivu wachagua kazi

    utashinda mjini ukichati tu
  6. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    wee watangaze unataka chanel ifungiwe
  7. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    haimaanishi kumkamata mpigania Taifa lake kutarudisha nyuma nia yake au kuwatia hofu wengine. wakina mandela walifungwa sababu hiyo,wapo machifu waliopigania uhuru wa taifa lao wengi waliuwawa wengi walichinjwa lengo na azma likatimia.upo mmoja mbele lakini nyuma tupo Milioni. najivunia kua...
  8. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wavivu wachagua kazi

    Serikali ya china basi wanaakili kutushinda sisi.
  9. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wavivu wachagua kazi

    inaonesha wazi we ni mtanzania mpaka picha unabishana nayo
  10. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania RPC Singida: Tunawasiliana na TCRA uwezakano wa kumfungia Tundu Lissu kwenye mitandao ya Kijamii

    mbele kwa mbele namba tutaisoma
  11. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Ombi: Ukaguzi wa vyeti ufike majeshi yote haraka

    mheshimiwa magufuli usikubali ukaguzi wa vyeti jeshi wale jamaa mafunzo wako nayo waache uko uko maana mkiwa leta uko tutakiona cha mtema kuni.
  12. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wavivu wachagua kazi

    Mchagua kazi hufa masikini,pesa unayoipata kwa taabu ndio itayokufanikishia mambo yako,epuka kuajiriwa,acha kulalamika wawekezaji wanafanya kazi zinazoweza fanywa na watanzania,wakati mkizipewa mnasema maslai madogo.wakati bajeti yako unataka uishi jumba la maana,msosi wa 3000,bia 3,ukodi...
  13. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    bora niende na Treni itakua shilingi ngap
  14. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikipenda ukiwa Mtoto

    ivi sai uka kutana na miongoni mwao umuulize kwanini alikua hataki kufa kipindikile unadhani itakujibu vipi?
  15. regnaldshirima

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikipenda ukiwa Mtoto

    haaaaaa
Back
Top Bottom