Watanzania Wavivu wachagua kazi

regnaldshirima

Senior Member
Aug 18, 2014
124
78
Mchagua kazi hufa masikini,pesa unayoipata kwa taabu ndio itayokufanikishia mambo yako,epuka kuajiriwa,acha kulalamika wawekezaji wanafanya kazi zinazoweza fanywa na watanzania,wakati mkizipewa mnasema maslai madogo.wakati bajeti yako unataka uishi jumba la maana,msosi wa 3000,bia 3,ukodi tex,mademu 5,umiliki li smatfon,bandle kila siku.

unnamed.jpg
muwekezaji%2Bwa%2Bkichina%2Bakikagua%2Bvitega%2Buchumi%2Bvyake%2Bkariakoo.jpg
1402520699579.jpg
 
Oneni sasa hasara ya kuwa na rais.. Yeye alikuwa haoni hasara anayoipatia taifa hili kwa kubebeshwa zigo la wafungwa toka china kuja kuwekeza hapa Bongo. Hii ilikuwa moja ya scandals kubwa aliyoifanya katika madaraka yake....baada ya mwanaye kukamatwa na lile kontena la madawa China, akachukua ndege ya taifa usiku wa manane kwenda kumuombea dhamana na kubembeleza serikali isimnyonge. Kwa hasira serikali ya China ikamletea wafungwa waje kufundisha kazi watanzania na kwamba hata karanga na kuuza kashata pamoja na kahawa msikitini ni kazi tu si lazima uuze madawa ili utoke kimaisha.
 
Serikali ya china basi wanaakili kutushinda sisi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom