Nimesikitika sana kuona gharama zetu za ndege za kimataifa zipo juu sana ukilinganisha na Kenya. Mfano kwa mwezi wa sita Bei ya ticket kutoka Hosuton-Nairobi ni $1,100 na kutoka Hosuton-KIA $1,700.
Gharama ya shuttle kutoka Nairobi mpaka Moshi mjini ni Tanzania sh 35,000-45,000 sio zaidi ya $20. Hivyo ukisafiki kwa kutumia KIA unalipa $500 kwa mtu mmoja kama una familia ni pesa nyingi sana extra.
Kuna wanaosema gharama za airport ni ngumu, wengine kodi zipo juu TZ lakini tunakosa sana biashara maana watu wanaanza kupitia Kenya zaidi.
Zamani tofauti ilikuwa kama $100-$250 lakini sasa imeongezeka sana. Ili tuweze kushindana na ukizingatia tuna hotel chache zaidi tuangalie hili kwa undani