yaani kuacha mapaja nje ndo urembo?? miguu myeusi, imepinda, makovu kibao, maumbo ya kabati, mtindi lol,
Tembeeni japo somalia, ethiopia!!, lol
kumbe ndo maana picha nyingi hapa JF za ku-copy mmmmh, masela tukaoe kwa zenawi tuokoe Taifa, siku za usoni tutakosa miss Tanzania, kama hawa nao...