Uvaaji mwingine mmh !!

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Picha zimegoma kutoka post nimeshindwa kuitoa pls mnisamehe ..nitarudi baadae
 
Watishia watu nyau umekuwa lyatonga next time tanguliza ugali maji baadaye mummy
 
Kwisha habari yake, IT mchezo??, si mpaka anayejua kuattach picha awepo.......!!!, pitia daftari tena mama, hatulali mpaka tuzione hizo picha lol
 
aaah wee FL1 vipi bana....watu tunasubiri tuone mavituzi na wewe unauweka usiku....
 
Usijali mama hayo yanatokea ni ya kawaida du. Pole!
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom