Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Yaelekea ameparamia miti sana alipokuwa primary!
Hivi waungwana, huyu ukikutana naye njiani akiwa hivi unamwacha kweli?
Yaelekea ameparamia miti sana alipokuwa primary!
Ninaombeni contact zake/zao!Hivi waungwana, huyu ukikutana naye njiani akiwa hivi unamwacha kweli?
mrembo au warembo ni pesa tu hapo sijaona urembo au niseme urimbo
whatsssssss its not good.
Conquest
kapozi kazuri haka
yaani kuacha mapaja nje ndo urembo?? miguu myeusi, imepinda, makovu kibao, maumbo ya kabati, mtindi lol,
Tembeeni japo somalia, ethiopia!!, lol
kumbe ndo maana picha nyingi hapa JF za ku-copy mmmmh, masela tukaoe kwa zenawi tuokoe Taifa, siku za usoni tutakosa miss Tanzania, kama hawa nao watazaa the same spp!!

Mmh hiyo ndo damu ya redcard we ni mtanzania halisi!! huna haja ya kukimbia