Asante kwa Award

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
Nashukuru kwa kupata hii award ya frequent poster, kwakweli sikujua kuna tuzo kama hii ila nilikuwa natuma tu posts zangu kwa lengo la kuchangia kama wadau wengine. Nashukuruni uongozi wa JF na wote wanaohusika katika kutoa tuzo pamoja na members wote wa JF. Pamoja daima
 
ICU
spam_16.png

Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Mar 2010
Location: ICU
Posts: 159
Thanks: 22
Thanked 52 Times in 40 Posts

Mh kumbe na mimi nikifikisha 159 nitavishwa taji?
 
ICU
spam_16.png

Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Mar 2010
Location: ICU
Posts: 159
Thanks: 22
Thanked 52 Times in 40 Posts

Mh kumbe na mimi nikifikisha 159 nitavishwa taji?
Hapana mkuu, hata ufikishe post 10,000 unaweza usipate ila unaweza ukawa na post 10 na ukapata,nadhani wanacho angalia ni nguvu ya hoja zako n'k kama sijakosea
 
Hapana mkuu, hata ufikishe post 10,000 unaweza usipate ila unaweza ukawa na post 10 na ukapata,nadhani wanacho angalia ni nguvu ya hoja zako n'k kama sijakosea

Sasa frequent poster na nguvu ya hoja wapi na wapi? Hizi award naona mnajipachika wenyewe!
 
Mbona icu nimemwona jana tu? Kuna vigezo gani vinatumika? Mods tuwekeeni ufafanuzi hapa
 
Hongera Mkuu.Kwa kweli unastahili ndani ya siku chache posta mia moja na ushee.Keep it up ili award yako idumu.
 
tukimaliza kazi tutavalishwa taji,
tukumalila twimbombo twiza ku vwala indiga''''''''''''''''''''''''
 
Back
Top Bottom