Ananipenda mimi na mdogo wangu nisaidieni.

Angekuwa atleast ni mdogo mtu ndo kaleta hii hapa afadhali, but dada mtu? That leaves me with lots of questions.
 
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.

Baniani mbaya kiatu chake dawa and there is no free lunch in this World, at the end of the day he will https://jamii.app/JFUserGuide both of you.....!!! Take my words!
 
waende wote wakose elfu kumi kumi za vocha???
wote watatu hawajatulia.
simlaumu mwanaume kwa sababu bado anabahatisha,hajatembea nao,


God forbid me! au jamaa mwenyewe ni wewe naona umekua mkali sana!
 
Kama umempenda mpe amege tu kwani kinadhuru?
Kibaya kama mnamlia vyake alafu hammpia jamaa acheke na nyavu hapo mtakuwa mnatenda dhambi.
 
Mamushka mmoja kati yenu ampe tu kaka wa watu jamani mtapata thawabu!!

Hapa tupo pamoja wakubaliana tu na mdogo wake ili wasiwe wanaingiliana mmoja wapo amkubalie kaka wa watu.

rayb usinivunje mbavu mwana wa mwenzio jamani hahaaa

Hehehehehehe chungu lakini ni dawa mama.

RayB mie naenda kulala ila nakuachia kifungu hicho umpatie great thinker mwenzio ushauri alioomba kufuatana na hekima zako!

Rudi mama alafu mbona safari ya Mkuranga hukuja wkt Kaizer alikuwepo!
 
Take care Mamushka.
Kuna mtu juzi aliniambia kuwa Vitz zilipoingia tu hivi alikua anapata shida sana.
Eti kila akimtongoza mwanamke, Alimtaka amnnulie Vitz, na alinunua!! This is a true story.
Kwahiyo sioni kama huyu anayewapa Elfu kumi kumi kama mnamkomoa!! Mwishoni mtakuja kumuonea huruma na mtampa stahiki yake!
kama mngekua na maadili hizo elfu kumi kumi mngezikataa.
Mamushka ningefuraji sana kama ungetuambia hii ni Hadithi ya kutunga. Coz kama ni ukweli. you have really lowered your dignity
 
Mnavyofanya sio haki kula pesa ya mwenzenu wakati hamna mpango nae.. ACHENI mara moja...
 
huyo Fataki achaneni nae hana mpango ,kha huyo mhuni aliyepitiliza ,lakini na nyie kwa nn one day yes akimpa appointment mmoja mnaenda wote mnamtolea uvivu
...FD1, kwani kwenye ma-lovee kuna haja ya kutoleana uvivu tena?? Si mnawekana sawa tu basi? nahisi kama vile huyo jamaa hajui kama hao wadada ni mtu na mdogo wake so kubwa ni wao kumwambia tu kuwa chagua moja we are sisters....kubwa au ndogo. Maisha ndivyo yalivyo ati... acha hasira!!
 
Mamushka
Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Wed Feb 2010
Posts: 11
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post

Anahitaji Msaada Jamani.. MSIMKWAZE zaidi....
 
Hakuna ubaya wowote kwa sababu watakuwa wamefanya kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu.


Hawa wadada nawapa big up. Mwanaume akijileta kichwa kichwa huku akiweka vijisenti mbele, tumia kadri uwezavyo. It is too risky not to take a risk.

Anayetafuta penzi kwa kutanguliza pesa huyo hapendi bali anatamani.

Mamushka mwambie kabisa kwamba hamumpendi, ila akiendelea kuleta hizo buku kumi kumi tumieni tu, mbarrratata.
 
waende wote wakose elfu kumi kumi za vocha???wote watatu hawajatulia.simlaumu mwanaume kwa sababu bado anabahatisha,hajatembea nao,Kwanza jamaa akikomaa atawamega wote kwa maana dada na mdogo m2 hawajatulia.
 
RayB mie naenda kulala ila nakuachia kifungu hicho umpatie great thinker mwenzio ushauri alioomba kufuatana na hekima zako!

Hawa wanawake sijui mabinti ni wamekolea katika kuchuna hao so wakiliwa wote sio mbaya na inawezekana wao ndo wanamchanganya humu wanatuzingua tu. Mpeni bana halafu mlete ripoti ilikuwaje
 
Hawa wanawake sijui mabinti ni wamekolea katika kuchuna hao so wakiliwa wote sio mbaya na inawezekana wao ndo wanamchanganya humu wanatuzingua tu. Mpeni bana halafu mlete ripoti ilikuwaje
RayB habari ya wewe?
 
wote wawili mjitolee kwa huyo kijana japo mara moja kuonesha kuwa mmekosea kweli. Nina uhakika atawasemehe.
 
Amen, na nitashinda na zaidi ya kushinda katika yeye anitiae nguvu.
 
kula kula tu, kibaya kukomba mboga!
huyo mshikazi tunaita msukule, mi ningeshawa-sodoma -wote, hebu nipe anuani yako uone, ala!!! yaani uchukue vocha yangu uchomoe, walahi ukishachukua vocha yangu ujue imekula kwako!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom