Anamkonyeza..

Hitimisho langu kwa huyu sister anayekonyezwa..
Ni kama vile mwanamme anapokutongoza ..una hiari ya kukataa au kukubali
Vivyo hivyo kwa huyo mwanamke ambaye anaamini homoni zake ndio zinamtuma kukukonyesha .una hiari yako ya kumwambia hukubaliani na matakwa yake .na umuombe asirudie kukukonyeza kwani kitendo hicho kinakukera na kukukosesha amani ..
Utakapokaa kimya ataamini unamfikiria
utakapo kaa kimya ataamini iko siku utakubaliana na matakwa yake ya kisagaji ..
na ataamini unafurahia pale anapokutongoza kwa kukukonyeza
Sisy be straight katika maamuzi yako...
FL1
 
Huu ndio ulimwengu na haya ndio mambo yanayotokana na ugunduzi wetu wa utandawazi
 
mwanakijiji nipe no ya huyo dada mkonyezaji au mwambie aje kwangu,tutamalizana in apeacefull mana,it will be a gals tok,count on me.ASAP

Hii Pati ya kimya kimya..... Sherehekea kimya kimya !!!(Joke)
 
Bado hujanionyesha ubaya zaidi ya kurudia rudia neno hayawani.

Kwa mfano ukiniuliza kuna ubaya gani kwa mwanaume wawili kuwa na uhusiano wa kingono nitakujibu kuwa hawa wataishia kutifuana sehemu za haja kubwa. Hii kisayansi ina athari kwa sababu inasababisha hajakubwa kuingia kwenye uume na kuwa kama wanainoculate bacteria kutoka kwenye kinyesi na kuipeleka kwenye uume. Pia inaleta michubuko ambayo inasababisha unwanted bacteria kupenya na kuingia kwenye damu ambapo wataproliferate sehemu wasiyotakiwa. In all muingiliano wa mwanaume na mwanaume au mwanaume kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile unaleta infection.

Narudia tena, kuna ubaya gani mwanamke na mwanamke wanapokuwa na mahusiano ya kingono?

Ama, naona una matatizo makubwa sana na hiyo ndo shida ya kizazi chenu watoto wa kisasa yaani ukiambiwa kitendo hicho ni uhayawani unataka kujua why! Kama huoni ubaya basi jaribu au kama unafanyaga hivyo endelea maana nimeshakwambia huo ni uhayawani maaana hata Hayawani wenyewe wa porini (Wanyama) ambao hawana akili hawawezi kufanya upumbavu huo sasa wewe mwenye akili unaona kuwa hilo ni sawasawa! Vitu vingine havihitaji akili ya ziada, wewe kwa akili yako uhusiano wa kingono unafanyikaje na watu wenye jinsia moja? Uliona wapi? Wanaofanya hivyo ni zaidi ya Hayawani wote. Sasa kama wewe ni mmoja wao, I am sory, so sorry!
 
cn neva pay zoz dirt games swty,nilishafatwa n mtu dizain hiyo wen niko chuo
pearl nilishituka mwanzoni nilipoona unataka kuwasiliana naye nikasema whaaat..!lkn nimekuelewa..ni kweli hawa wa2 wa hivi wanahitaji m2 awape ushauri nasaha maana huu ni ugonjwa wa kiakili!

hizi ni athari za utandawazi,na huu ni mwanzo tu yatazidi hadi tutajionea kawaida tu.
wee dada unayekonyezwa,yeye akikukonyeza wee mkazie macho na umuoneshe ni jinsi gani unavyokerekwa na tabia yake!ukimlegezea utajikuta umenasa na kujichomoa hutaweza.
wala mtu kama huyo siyo wa kuwa rafiki naye koz hata kama hutakubaliana naye lkn wa2 wanaomjua watajua kuwa na ww ndio wa hivyo,utaiharibia image yako!
 
Ama, naona una matatizo makubwa sana na hiyo ndo shida ya kizazi chenu watoto wa kisasa yaani ukiambiwa kitendo hicho ni uhayawani unataka kujua why! Kama huoni ubaya basi jaribu au kama unafanyaga hivyo endelea maana nimeshakwambia huo ni uhayawani maaana hata Hayawani wenyewe wa porini (Wanyama) ambao hawana akili hawawezi kufanya upumbavu huo sasa wewe mwenye akili unaona kuwa hilo ni sawasawa!.........

Nadhani wewe ambaye hutaki kuulizwa 'why' na kumwita mwenzio hayawani, wewe ndio hayawani. Hayawani ni wasio na uwezo wa kureason. Hivyo you are among the hayawanis, tena wale ambao ubongo wao ni disfunctional. Huwezi kuniaminisha jambo bila kutoa concrete reason.

Usijifanye unaishi kisiwani, na kwamba hujawahi kuona au kusikia mahuasiano ya kingono baina ya watu wa jinsia moja.

...... Vitu vingine havihitaji akili ya ziada, wewe kwa akili yako uhusiano wa kingono unafanyikaje na watu wenye jinsia moja? Uliona wapi? Wanaofanya hivyo ni zaidi ya Hayawani wote. Sasa kama wewe ni mmoja wao, I am sory, so sorry!

Kwa vile natumia akili za ziada nimeuliza, kuna ubaya gani kuwa na uhusiano wa ngono kati ya mwanamke na mwanamke? Haya wewe mwenye akili lakini usiyetumia akili ya ziada, wapi nimesema uhusiano wa kingono ufanyike kwa watu wa jinsia moja? Soma kidogo kabla hujakurupuka kupayuka.

Ni bora kuwa hayawani mwenye kuquestion na kureason kuliko kuwa hayawani mwenye dysfunctional brain, asiyetaka kuulizwa wala kujibu swali, bali anabwabwaja. Nasikitika kwa kuonyesha uhayawani wako.
 
mwanakijiji nipe no ya huyo dada mkonyezaji au mwambie aje kwangu,tutamalizana in apeacefull mana,it will be a gals tok,count on me.ASAP

nina wasiwasi na huyu dada na hilo ombi lake. asipewe hizo contacts. msome hapa kwenye post ya 3
 
WAT IS ZIS GOT TO DO?
"picha yako bana naogopa nawaza ovyo ovyo tu nisamehe,haki ya wanyama inazingatiwa?"(WAT I MENT HAPA IS HUYU KAPIGA PICHA UCHI NA MNYAMA SO BINAFSI SIJAIPENDA THAT PICHA,ANYWEI KTK MAISHA UNATAKIWA UISHI KAMA WW SIO WATU WANAVYOTAKA,NILITAKA KUONANA NAE NA KUMPA USHAURI NOTHING MO
nina wasiwasi na huyu dada na hilo ombi lake. asipewe hizo contacts. msome hapa kwenye post ya 3
 
jamani bi mdogo anawashukuru kwa ushauri mbalimbali.. special thanks to Ama, Pearl na FL1. Nimezungumza naye tena kwa kirefu tukipitia michango yenu lakini inaonekana she it tempted to experiment once..ili "aelewe hicho kinachomsumbua" huyo dada. On the other hand she say she will do the needful. so we'll keep you updated
 
.......Jamani dunia hii inaelekea ukingoni si matani haya ni kweli hivi vitu vinatokea kwenye jamii ya sasa.
Mimi mwenyewe ilishawahi kunitokea hii, kuna dada tulikuwa ni majirani tunaishi mtaa mmoja, huyo dada nakwambia kila akiniona alikuwa anapenda kunihug na kunikiss, hii si ajabu sana mtu kumkiss mtu au kumhug mkiwa marafiki haswa kwa wasichana.........mara siku nyingine ananipa sifa kem kem na kuniambia ananipenda.......mie nilimchukulia simple kama rafiki tu, baada ya muda akawa anataka tuwe tunatoka out wote, kuna wakati nilikuwa natoka naye out kama rafiki. Lakini baadaye kuna kitu nilikihisi kwa yule dada, maana jinsi alivyonizoea si kawaida nikaanza kuona dalili za hatari.

.........Kilichonifanya nimuone rafiki wa tofauti ni kipindi nilivyokuwa na BF wangu, yaani akiniona na BF wangu anachukia kweli kweli, hadi kuna wakati akaamua kuniambia yeye hampendi BF wangu anataka mie niwe single.........hapo ndipo nikapata mshtuko nikajua huyu si rafiki wa kawaida. Bf wangu pia naye kumbe alishamgundua yule mdada kwamba mie nikiwa naye yule mdada alikuwa unhappy.

Kitu kingine nilichomstukia yule dada ni kuchukia wanaume na hataki kuwa jirani na wanaume, hana hata Bf katika age yake ni kitu cha ajabu.........nilivyoona hivyo nikatambua yule dada atakuwa ni lesbian na kuanza kumkwepa mara moja na kuacha mazoea naye.
Yaani sijui ni shetani au nini haswa hadi mtu unaamua kumpenda kimapenzi mtu wa jinsia moja na wewe.
 
Duu kazi ipo.Jamani hii dunia imjaa kila aina ya uchafu.Nimeamini kweli shetani ana nguvu ya kutisha.
 
Kwanza karibu tena mzee mwanakijiji yule. Umeona mbali kurudi. Pili nimeona umewashukuru watu wawili tata; ama na pili. Napowasoma wananipa shaka. Mkuu unawashukuru kwa kuwa na mawazo homo? Jisafishe na watu hawa au tuambie wametoa ushauri gani uliokukuna
 
Kwanza karibu tena mzee mwanakijiji yule. Umeona mbali kurudi. Pili nimeona umewashukuru watu wawili tata; ama na pili. Napowasoma wananipa shaka. Mkuu unawashukuru kwa kuwa na mawazo homo? Jisafishe na watu hawa au tuambie wametoa ushauri gani uliokukuna

Wee, acha kuita watu majina, una wivu kama upele.
 
Punguza uoga mtoto wa kike, kukonyezwa tu unasema, je akiweka kimiani???
akukonyezae nawe mkonyeze (mtoto wa kike hovyo)
 
Hili tatizo la wadada kwa wadada kukonyezana litapungua pale wanaume wote watakapoona umuhimu wa kuendeleza mila!.
 
Kuna wakati ni lazima ukubali kuwa adui wa taifa. Kuna ubaya gani kwa mwanamke kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwwenzake ilhali hakuna mwingiliano wowote unaotokea zaidi ya kunyonyana ndimi na visimi? Uhusiano ninaouogopa ni kati ya mwanume halisi na mwanaume feki kwani kuna mwingiliano unatokea ambaoa una athari mbaya kiafya kwa wote wawili. Kwangu hii ni changamoto kwetu wanaume kutafiti tunachokikosa ktk foreplay na kujifunza ili tuwarithishe wake/wapenzi wetu. Wanaume wengi hukimbilia kuingia wakati mwingine hata utelezi haujatokea matokeo yake ni maumivu tu kwa mwanamke na bila starehe yeyote na pia anaachwa kitandani kama alivyopanda. Heko wanawake mnaotoa changamoto kwa wanaume wasiojua cha kufanya na wapenzi wao kitandani zaidi ya kuwapanda tu na kujali tamaa zao tu. Pia sioni athari yeyote kiafya kwa wahusika LABDA kwa wale mnaojianya wanasaikolojia na tena LABDA.
 
King,cjui kama unajua unachoongea!jina langu ni pearl c pili!
watu kama hawa kwenye jamii wapo tena wengi sana,ni marafiki zetu,jamaa zetu ,wadogo zetu,ndugu zetu,wapenzi wetu.Binasfi nilitaka nikae na huyu dada na kuongea nae nijue tatizo lake ni nn hasa!usagaji haujashamiri sana kama ushoga!kwaiyo najua bado kuna njia ya kuweza kutokokomeza hii,nimeshakutana na wadada kama hawa chuo wengi tu,lkn ukiongea nae anajutia hicho kitendo na yuko tayari kuacha,wengi wao(niliiongea nao)wameamua kuwa hivyo maana wamechukia nafsi zao na wanaona hawawezi kupendwa wala kupenda tena,wengi wao wamekuwa hivyo coz wamedanganywa na wapenzi wao(wanaume)na hivyo wengi wamejidharau na kuona bora wafanye hivyo wakiamini kuwa ukiwa na mpenzi wa jinsia moja hakuna matatizo yyte,but wamekuja kugungua matatizo kwa mwanadam ni kitu cha kawaida sana,problems are to be solved and questions deserve answers,hope tuko pamoja.
Kwanza karibu tena mzee mwanakijiji yule. Umeona mbali kurudi. Pili nimeona umewashukuru watu wawili tata; ama na pili. Napowasoma wananipa shaka. Mkuu unawashukuru kwa kuwa na mawazo homo? Jisafishe na watu hawa au tuambie wametoa ushauri gani uliokukuna
 
King,cjui kama unajua unachoongea!jina langu ni pearl c pili!
watu kama hawa kwenye jamii wapo tena wengi sana,ni marafiki zetu,jamaa zetu ,wadogo zetu,ndugu zetu,wapenzi wetu.Binasfi nilitaka nikae na huyu dada na kuongea nae nijue tatizo lake ni nn hasa!usagaji haujashamiri sana kama ushoga!kwaiyo najua bado kuna njia ya kuweza kutokokomeza hii,nimeshakutana na wadada kama hawa chuo wengi tu,lkn ukiongea nae anajutia hicho kitendo na yuko tayari kuacha,wengi wao(niliiongea nao)wameamua kuwa hivyo maana wamechukia nafsi zao na wanaona hawawezi kupendwa wala kupenda tena,wengi wao wamekuwa hivyo coz wamedanganywa na wapenzi wao(wanaume)na hivyo wengi wamejidharau na kuona bora wafanye hivyo wakiamini kuwa ukiwa na mpenzi wa jinsia moja hakuna matatizo yyte,but wamekuja kugungua matatizo kwa mwanadam ni kitu cha kawaida sana,problems are to be solved and questions deserve answers,hope tuko pamoja.

i got u, maam (pearl aka lulu). wish you all the best in your endeavors. lest you tempted to touch. ila uwakemee na hao wanaosema hawaoni tatizo kwa wanawake kusagana. mmoja wapo ni ama
 
i got u, maam (pearl aka lulu). ...... ila uwakemee na hao wanaosema hawaoni tatizo kwa wanawake kusagana. mmoja wapo ni ama

We vipi wewe, badala ya kumwambia ajibu una mwambia akemee.

Nakuuliza wewe kuna ubaya gani wanawake wawili wakifanya mapenzi. Naomba kueleweshwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom