Recent content by redashampu

  1. redashampu

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    JOINING INSTRUCTION YA LUPA HIGH SEC SCHOOLKwa walio changuliwa kujiunga kidato cha tano 2017/2018 Lupa high school, joining instruction inapatikana hapa.
  2. redashampu

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu aliponiaibisha kwa kumtekenya dereva wa bodaboda!

    Heri lawama kuliko fedheha amka
  3. redashampu

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu aliponiaibisha kwa kumtekenya dereva wa bodaboda!

    Kwani ukimwambia hilo linakudhuru nn
  4. redashampu

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

    "everything happen for a free reason" [emoji106] [emoji106]
  5. redashampu

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

    Kila kitu kina sababu yake ya kutokea, nakitu chochote unachokiona kimetokea kupitia njia kuu nne 1. Ideal cause/sababu za fikra 2. Design cause/sababu za miundo/michoro ndio maana hata sayari zinamaumbo 3. Material cause/vifaa vya uundaji /utengenezaji 4. Purposeful cause/madhumuni yake Ukujua...
  6. redashampu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

    Acha shule, maana umekula hujatoa sababu ya kula, pengine ni makusudi.
  7. redashampu

    JamiiForums Tanzania Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    Kutangaza ni muhimu ila sio lazima kwakuwa lugha is not a part of productivity which is generated through c ree activity thereafter increase economics capacity. Usiwemtumwa wakukalili mambo. Kwa taarifa ya Lugha ni sehemu ya utamaduni hivyo mheshimiwa anatangaza utamaduni asili wa Mtanzania na...
  8. redashampu

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wanaokubalika katika Idhaa za Kiswahili

    Kuna yule anasauti kama. Mwaume sijui wa kike ansitwa humru heri sijui wa dw
  9. redashampu

    JamiiForums Tanzania Tathimini ya siasa Bongo

    Ukiiangalia Tz ya mwaka95 inamisingi mikubwa ya Ujamaa na kujitegemea(socialism) ktk nyakati hizo na misingi hiyo kauli za Mwl. Jk Nyerere zinakuwa na mashiko makubwa(valid). Lakini Kipindi hiki nikingine yatupasa kutafakari upya swali moja la msingi "katika falsafa nchi yetu bado inaamini ktk...
  10. redashampu

    JamiiForums Tanzania CCM wanajutia Escrow sasa wamesema lazima wawatimue wahusika!

    Safari moja huhazosha nyingine tunawaambia wananchi tunataka serikali Tatu wao wanataka 2 labda ndo wapiga kula wenyewe
  11. redashampu

    JamiiForums Tanzania Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

    hiyo ni elimu nzuri sana, kwa watu ambao ni "physician" kidogo wameweza hakiki elimu hiyo walau kiasi chake
  12. redashampu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuiteka Pwani

    nimeipenda hiyooooooooooo
  13. redashampu

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka: Hoja ya upinzani ni kelele

    wanajisahau kama hoja ni za nchi nasi za watu binafsi.
  14. redashampu

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo

    nijambo jema sana ila jiulize kama ni miongoni mwa watakao kuwa na bahati kama hizi na kwa nn? baadhi ya mambo huwa ni ya msingi sana lakin je wanaguswa wanachi wangapi. kutembelea ni ukarimu kwa uliye mtembelea wakati kuboresha huduma za afya ni ukarimu kwa jamii
  15. redashampu

    JamiiForums Tanzania Kama majibu ya Waziri ndiyo haya,Walimu wa Tanzania tuna hali ngumu

    kweli bunge letu ni comedy tosha wala hunahaja ya kununua cd za vichekesho
Back
Top Bottom