rashidforeseer1
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 339
- 140
Bila chadema hii nchi kwishiney. Hata huyu msalani hawezi pata hiyo ajira yake toka kwa nape
vijana wako juu ya fuso ya chadema, huyo mwenye njano ameshika kiroba.
vipi mikutano ya ukawa imeishia wapi?
Bila chadema hii nchi kwishiney. Hata huyu msalani hawezi pata hiyo ajira yake toka kwa nape
Bila chadema hii nchi kwishiney. Hata huyu msalani hawezi pata hiyo ajira yake toka kwa nape
Mbona CDM ilishakufa, labda wakafanye
Postmortem. R.I.P CDM Tulikupenda, ila Mungu amekupenda zaidi, Mwanga wa milele umuangazie eeh Bwana........ Apumzike kwa Amani.
haaa haaa! Mkuu hapo pana asili ya kaukweli...Fedha za msaada ndiyo zishaanza kutumika hivyo?This Party is really good when it comes to bad investment and it never learns.They are becoming pathetic by the day
UKAWA ni noma ! IMESAMBARATISHA WASALITI WOTE HATA HAWAJUI WAANZIE WAPI !
Nimeona muhoro nimefarijika sana..mm nmefanya field huko wananchi huko wamalala sana..Ratiba ya leo...
1.Mhoro-RUFIJI. 2.Bungu-KIBITI. 3.Kimanzichana
-MKURANGA. 4.Msimbu-KISARAWE. 5.Chanzige -KISARAWE.
Amen!!!!!!!!!!
Baadhi ya viongozi wa CHADEMA huwezi kuwatenganisha na ubaguzi.
Kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze, hatukuona Helikopta kwa sababu mgombea hakuwa 'mwenzao'.
Kwa sasa kwa vile watakao fanya mikutano ni 'wenzao', ndiyo maana tunasikia wanasema watatumia helikopta.
Ubaguzi umewafanya mpaka wasione hata aibu kwenye uwiano wa matumizi ya resources ndani ya chama.