Recent content by Read me

  1. R

    Natafuta kazi ya clearing and forwarding

    Hizo nafasi siyo kwa ajili ya ku-apply, jamaa amekupa hzo kama muongozo,ili ujue jinsi ya kuandaa CV yako. So zikitokea chance kama hizo sehemu yoyote uweze kuomba ukiwa unajiamini. Ndivyo nilivyo muelewa maelezo yake ya juu kabisa.
  2. R

    HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

    Hujui ulitendalo, Ni bora ukae kimya kuliko kuonyesha ujinga wako hadharani, Embu ona sasa, kila mtu anakuona Kilaza.
  3. R

    Ni kweli kwamba nafasi za polisi zimetoka?

    Nimeliona tangazo lenyewe halina deadline sijui wanasubiria hadi majibu ya form 6 yatoke mwezi wa 4 ndio waweke hyo deadline yao.!!
  4. R

    Hatimaye Ajira mpya walimu wenye shahada haya hapa

    mimi sijasomea ualimu,ni graduate wa fani nyingine,nikitaka kufundisha natuma maombi ya kufundisha wizarani au kwa afisa elimu mkoa? Nikituma sasa ivi kusubiri kupangiwa kituo ndio hadi mwakani au?
  5. R

    fanya hii kazi wakat unasubir kupata Ajira inalipa sana

    Thanx 4info, Hivi kama mtu akitoa/kuweka kuanzia 5000-9,999 na 10,000-99,999. Kamisheni hapo inakuwaje mkuu. Naomba ufafanuzi.
  6. R

    Tra na namna wanavyoajiri

    kifupi wanahitaji watu wenye Postgraduate na Masters.
  7. R

    Je huu ni utapeli?

    Thanx wadau kwa ushauri wenu, hawa matapeli nimeshawapotezea, wamenipigia simu kuniulizia lini nitawatumia elfu 14 kwa njia ya M.PESA. Nimewapa live kuwa ni matapeli wakubwa, wakabaki kujiuma uma wasijue la kusema. THANX JF
  8. R

    Je huu ni utapeli?

    Salaamu zenu wadau! Nimepata barua kutoka watu wanajiita EUROPEAN & AFRICAN DEVELOPMENT FOUNDATION (INC) (East Africa Ltd), kwa kazi niliyo apply hapa Dodoma. Nitaifupisha kama ifuatavyo. MEMORANDUM TO.............................. You have been short listed to the post you applied...
  9. R

    'Tangu lini CCM ikawa msemaji wa vyama vingne?'-ZITTO

    Nimeamini CHADEMA Ni UBINAFSI MTUPU!
  10. R

    LL.B 1st class holder

    Kama 1st class ya Tumaini ni sawa na PASS ya UDSM. Kwahiyo 2nd classes za Tumaini ni sawa na FAIL za UDSM? Ivi kama UDSM hawatoi 1st class kutokana may be na urasimu uliopo,je na vyuo vingine wasitoe coz Udsm ziko chache? Vyuo vingine waangalie UDSM wanafanyaje ndio wao waige? Hamuon kuwa...
  11. R

    Hivi star tv, & kiss fm zimekumbwa na nini dom?

    wa2 wengine ni wazee wa upako,yan kufika maeneo km pub daaah!!
  12. R

    Hivi star tv, & kiss fm zimekumbwa na nini dom?

    Yani mwana leo nahisi kukosa ilo pilau,tatizo Star tv hata kwenye hichi king'amuzi cha kichina haipo.Cjui nifanyaje ili nimwone mnyama live leo.
  13. R

    Hivi star tv, & kiss fm zimekumbwa na nini dom?

    Nawasalimu WOTE kwa jina la JF, Mwanzoni kiss Fm redio ilikuwa inashika vizuri tu,mara ikaanza leo inapatikana, kesho haishiki mwishowe kwa sasa haishiki kabisa Dodoma kwa zaidi ya miezi kama 5 na zaidi sasa, Nayo Star Tv nayo ikaanza ukauzu wake,mara inapatikana,cku nyingine haipatikani, na...
  14. R

    Maisha Plus imeishia wapi???

    Nilikuwa mfuatiliaji wa hicho kipindi miaka ya nyuma kupitia TBC1, Lakini nashangaa mbona cku hizi hakipo tena! Mwenye nyuzi a2juze kimepotelea wapi hiki kipindi cha maisha plus cha Masoud wa kipanya na wenzake.
Back
Top Bottom