Tra na namna wanavyoajiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tra na namna wanavyoajiri

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kimpango, Jan 2, 2012.

 1. kimpango

  kimpango JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 80
  Leo nimechoswa na gazeti la daily news ambalo nilifurahi kukuta ndani kuna tangazo la nafasi za kazi TRA lakini wameweka vigezo kuwa graduates wanaotakiwa ni waliomaliza Bachelor mwaka2011 na wale wa nyuma lazima wawe na kaelimu cha ziada hivi, kweli mimi wa mwaka 2010 kurudi nyuma ndo sistahili kuajiriwa?au hiyo masters au postgraduate ningeitoa wapi wakiwa hawatoi mikopo kwa postgraduate?
   
 2. g

  gkipps Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka kupata kazi siku hizi ni kama kuwinda tembo kwa mshale
   
 3. mwaipembe

  mwaipembe Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  kaka dailynews ya lini natamani niisome kwa kujiridhisha
   
 4. Twaps

  Twaps Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  wametangaza nafasi za kazi za vitengo vipi labda sisi graduate wa 2011 tutabahatika.
   
 5. Twaps

  Twaps Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  sisimizi kwa bunduki.
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wewe jaribu,usikate tamaa.Haya matangazo wakati mwingine ni copy and paste tu.Tupa karata yako ndg.Mimi ni graduate wa 2009 lakini nitaomba tu.Kama nimeandikiwa,nitapata tu.
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  siku hizi hata ka umeandikiwa unaweza usipate mana kuna mijitu inan roho ya kutu,jaribuni tu though navofahamu hadi sasa nafasi zina wenyewe mana zimetoka tangu last week leo ndo wamepublish,sikatishi tamaa huo ndo ukweli wenyewe.
   
 8. +255

  +255 JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Af tatizo vyuo vingi hadi leo hii hawajatoa Transcripts kwa waliomaliza 2011, Sijui ndo itakuwaje sasa..
   
 9. R

  Read me Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kifupi wanahitaji watu wenye Postgraduate na Masters.
   
 10. M

  Ms mashaba Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli, mie niko na master ya IT.. Do u think watanichukua?
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Jaribu tu,utafanikiwa.
   
Loading...