Hivi star tv, & kiss fm zimekumbwa na nini dom?

Read me

Member
Jan 10, 2011
35
4
Nawasalimu WOTE kwa jina la JF,
Mwanzoni kiss Fm redio ilikuwa inashika vizuri tu,mara ikaanza leo inapatikana, kesho haishiki mwishowe kwa sasa haishiki kabisa Dodoma kwa zaidi ya miezi kama 5 na zaidi sasa,
Nayo Star Tv nayo ikaanza ukauzu wake,mara inapatikana,cku nyingine haipatikani, na kwa sasa haipatikani kabisa dom! Kwa miezi kadhaa sasa.
Tunashindwa kuelewa nini tatizo hasa sisi wapenzi wa hiki kituo cha Tv.
Kweli 2nakosa uhondo wa vipindi vyao 2livyokuwa 2nafuatilia.
Hasa zaidi imenifanya nishindwe kufuatilia live michuoano ya kombe la Kagame nasikia wao pekee ndio wanaonyesha.
Tena leo ndio fainali SIMBA & YANGA, yani natamani kulia.
 
Hahaha kaka rekebisha antenna yako mapema usije kosa pilau la mishkaki ya mnyama leo!
 
Lazima magamba yanahujumu ili wananchi wasipate taarifa nayo yaendelee kuwadanganya na tbc yao
 
Hahaha kaka rekebisha antenna yako mapema usije kosa pilau la mishkaki ya mnyama leo!
Yani mwana leo nahisi kukosa ilo pilau,tatizo Star tv hata kwenye hichi king'amuzi cha kichina haipo.Cjui nifanyaje ili nimwone mnyama live leo.
 
Yani mwana leo nahisi kukosa ilo pilau,tatizo Star tv hata kwenye hichi king'amuzi cha kichina haipo.Cjui nifanyaje ili nimwone mnyama live leo.
Superspot wanaonyesha nao, nenda pub!!
 
Back
Top Bottom