Recent content by Raymor wa Jublea

  1. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kureseat kwa advance

    yap
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari mmeonyesha undumilakuwili kwa kushirikiana na Prof. Lipumba

    Hii ndo TZ bhana.... Maamuz yanatolewa kwa chuki. Et wanadai hak zao, sasa kpo wap kwa alchokfanya lipumba au kwasabab sio clouds ya Boss luge alyetajwa ktk madawa?
  3. R

  4. R

    JamiiForums Tanzania Anahofia kuachwa kwa kushindwa kumridhisha mpenz wake

    Ametaka msaada thus y nkashare nanyi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Anahofia kuachwa kwa kushindwa kumridhisha mpenz wake

    Naanzaje kwa mfano
  6. R

    JamiiForums Tanzania Anahofia kuachwa kwa kushindwa kumridhisha mpenz wake

    Anaumri Wa 23 Years yupo ktk mahusiano kinachomsumbua n kwamba uume wa mpenz wake hauingii japo tayar utando Wa juu yan bikra alifanikiwa kuitoa cku za karibun. Na uume sio mkubwa pia anapata maumivu makal pale uume unapoingizwa kwenye uke. Wamejarb styl mbalmbal lakin wap,na huandaliwa vzur tu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Filamu za muda wote na hazichoshi!!

    love basket ball,home alone,pia naenjoy tom and jerry
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni kozi zipi za biashara zinatolewa IFM and DIT ngazi ya cheti?

    Ni koz zipi kwa ngazi ya cheti zinazotolewa katika vyuo hivyo kwa mwanafunz aliyesoma masomo ya business?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sikio limeziba

    Ni mara tu baada ya kulisafisha kwa kuingiza maji wakat nachukua udhu liliingia maj likaniuma na sasa halisikii.Naombeni msaadan nilitibu vipi?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kufutwa michepuo

    Et jaman imetangazwa kufutwa comb ya cbg na pgm?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuunganisha cheti kwa waliorisit

    Naomba kuuliza kuhusu utaratibu wa kufatwa ktk mchakato wa kuunganisha cheti.Elimu ya sekondar nilimaliza 2011 nkapass baadh ya masomo nkarudia 2016 sasa nauliza jinsi ya kuunganisha hivyo vyet viwili tofaut mara baada vikitoka
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wasichana: Jisafisheni miili yenu mnatia aibu

    zna kaz biological huo usaf mwngne too much
  13. R

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA KUHUSU HILI

    Nmerisit Nmepata division 1 ya 17 kwa pass hz Histry Geog na Bios nmepata C Math kiswahil literature na english structure nmepata B na physics chemistry na civics nmepata D.Nahtaj kusoma CBG Je inawezekana?
Back
Top Bottom