Msaada: Kuunganisha cheti kwa waliorisit

Mar 3, 2017
14
6
Naomba kuuliza kuhusu utaratibu wa kufatwa ktk mchakato wa kuunganisha cheti.Elimu ya sekondar nilimaliza 2011 nkapass baadh ya masomo nkarudia 2016 sasa nauliza jinsi ya kuunganisha hivyo vyet viwili tofaut mara baada vikitoka
 
Mkuu viambatanishe kwa pamoja, lakini kinachotumika ni kimoja kwa sheria ya sasa.
 
Je mimi ambae nimereseat kutafuta credit ya tatu ili nifanye mtihani wa form six nitaruhusiwa kutumia vyeti vyote viwili vya o level? Nisaidieni wajuvi.
 
Je mimi ambae nimereseat kutafuta credit ya tatu ili nifanye mtihani wa form six nitaruhusiwa kutumia vyeti vyote viwili vya o level? Nisaidieni wajuvi.
Wanataka credit za mkao mmoja.
 
Back
Top Bottom