Ben4figure
Member
- Jul 20, 2016
- 32
- 46
samahanini wakuu...hivi kwa mfumo wa elimu ya Tanzania kwa sasa.....kwa mfano mtu alimaliza form six mwaka jana na kwenye combination yake akapata DEE.....hapo awez kuendelea na chuo kikuu sabab amekosa principle pass mbili......SWALI ni hivi je mtu huyu kureseat kwake kunakuaje,anaweza soma somo moja tu ili kuipata hiyo principle pass au inakuaje?