Recent content by Raymond M.M

  1. R

    Utajiri wa Kamanda Barlow Unatisha! Soma hapa...

    Hii kali, ila tazama Mungu anavyo waumbua,mail huleta kiburi hata Kula wake za watu!
  2. R

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Waziriiiii.....! Sasa hats organs za wizara hujui? Ndo maana hata mfumo wa elimu uko shaghara baghara! Aibu sana. Harafu huyu ndo anaongoza kuzuia walimu kwenda kujiendeleza vyuo vikuu! This guy is bogus kwa kweli..
  3. R

    Mo Ibrahim: CCM awamu ya nne yavunja record utawala bora

    Kwenye kuendeleza Barbara na miundo mbinu I agree. Tatizo Hilo la utawala bora halipo. Ni udini na makundi mwanzo mwisho.
  4. R

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Kichefuchefu kabisa! huu ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi kinachoitwa uvivu wa kufikiria, kinaambukizwa kwa kukimbia darasani! huu ni mtaji wa miradi ya kisiasa ya kupotosha ukweli na kufaidika na watu wajinga kama huyu shekh uchwara! lkn kama kiongozi yuko hivi na anayowaongoza wakoje...
  5. R

    Mabele Marando aliondokaje Usalama wa Taifa?

    Point of correction pls; siyo Mkonge hotel ni Raskazone hotel!
  6. R

    GE2010 Matokeo zaidi kutoka Mbeya

    Hao ant-virus size yao! C mck.........! Ndo tabu ya ule mchezo unakuwa mvivu kufikiria! Sugu mpambanaji bongo mpaka New york! Much respect bro!
  7. R

    GE2010 Mbowe alimshambulia mtu Jimboni?

    We mwenyewe unaonekana kahaba, hotel gani unayoisema!? Ndo maana huwezi kujua kila binadamu anakasirika! Mbona mweyekiti wa CCM anaanguka anguka!? Mmewahi kusema hafai! Mtu akileta mambo ya hovyo anafanywa hovyo! Au siyo!
  8. R

    Kenya's Vice President says: 'East Africa still needs Kikwete'. ?!?*

    Musyoka smthn went wrong btn his ears! Not only papety but currupty of highest level. I think we should not waste our goldern bites to thread for corrupt and unethical statement from a cheap mind. I don't remember or even believe he's clever and decent enough to hv a strong poll for Tanzanian's...
  9. R

    GE2010 Kitakachotokea kabla ya 31 oct

    Akifa ndo itasogezwa! Vinginevyo uchaguzi palepale!
  10. R

    GE2010 Slaa apata mapokezi makubwa Urambo

    Hii nyomi ya Urambo!?
  11. R

    Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

    Awe mmasai au mchaga vinahusu nini! MnxiuUuu......! Ongea hoja!
  12. R

    Dr. Slaa in Tunduma (photo)

    People's Poweeeeeeeeeeeeeeer! Mpaka kieleweke.
  13. R

    GE2010 Tanzanians ready for change – Slaa

    Thanks, Naomba nitoe mapendekezo, tusiishie hapa! Kampeni na ya sisi wote tunapenda mabadiliko! Uwe ofisini,hosipitali,kwenye viombo nya usafiri,maskani mbali mbali, zungumza na kuwajaza watu confidence for change. Kura peke yake haitatosha.zimebaki siku chache.malengo kila mtu ashawishi...
Back
Top Bottom