Kitakachotokea kabla ya 31 oct | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitakachotokea kabla ya 31 oct

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kituko, Oct 17, 2010.

 1. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Hali ya JK na CCM kisiasa kwa ujumla wake si nzuri na dalili zote zinaonyesha anguko kuu la CCM, silaha ya mwisho atakayotumia JK na CCM ni ya kuhahirisha Uchaguzi mpaka mwakani, miongoni mwa mbinu zilizopo ni hii ya JK Kujiangusha siku chache kabla ya uchaguzi na tutaelezwa hali yake si nzuri na atapelekwa nje ya nchi kutibiwa na uchaguzi utahahirishwa mpaka mwakani ili CCM wajipange vizuri kukabiliana na Slaa, nimedokezwa na kada wa CCM
   
 2. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Hata ivo afya yake ni mbovu kweli. Hapaswi kugombea wala kuwa kiongozi.
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,201
  Trophy Points: 280
  Ina maana tanzania hakuna mtu wa kuwa rais hadi tumsubiri mgonjwa apone, hatujafikia usultani huo akienda aende salama huku tanzania ikisonga mbele.
   
 4. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Awamu hii akijiangusha hatosimama tena, ndio basi
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kura zitapigiwa hata akiwa kwenye drip
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Hizo ni tetesi, hisia zako, au?

  DR. SLAA FOR LIFE!!
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kwa ccm lolote linawezekana.
  tetesi yoyote ni kuifanyia kazi mpaka iwe proved imprudent.
   
 8. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  kura zitapigwa labda awe amekufa
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hata avunjike mbavu kwa kuanguka Kura Kama Kawa zitapigwa
   
 10. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Am sorry to say ...but Mbona ndizo taarifa za yule mtabiri...!?
  Anyway' ... ukweli ni kuwa any delay of this kind utaipa nguvu CHADEMA kuliko CCM!
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Mkuu sio hisia zangu, nakwambia nimedokezwa na Kada Mmoja wa chama, na hilo (la kuanguka) ni mojawapo la mbinu nyingi walizopanga za kuahirisha uchaguzi, wanachosema wanataka uchaguzi ukihahirishwe ili wapate muda wa kurudisha kampeni zote kwenye chama na zisimamiwe na chama (CCM), kwa maana sasa inaonekana chama hakina nguvu (akijashiriki vizuri) kwenye kampeni hizi (ilikuwa ni JK pekeyake bila chama), nguvu itakayotumika ni kuhahirisha uchaguzi mpaka january na kisha muda wa kampeni utaongezwa ili CCM na JK wapate nguvu mpya
   
 12. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hio imekula kwao, watakukuruka mpaka chweeeeeeeeee !!
   
 13. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Inamaana na muda wa vyou kufunguliwa utasogezwa mbele zaidi......???
   
 14. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  Crisis; la kuvunda halina ubani. "Akagunju kalafa...."
   
 15. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi natabiri UWT watafanya lolote wawezalo ili uchaguzi usifanyike hata kama ni kuua!!!!
   
 16. R

  Raymond M.M Member

  #16
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akifa ndo itasogezwa! Vinginevyo uchaguzi palepale!
   
 17. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wakisogeza tu CHADEMA wanapata fursa nzuri zaidi ya kushawishi watu,

  Naomba ajiangushe tu, atakaponyanyuka ndipo atamkuta Dr Slaa Rais
   
 18. o

  omuhabhe Member

  #18
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nafikiri kuwa mgombea akifa ndio uchaguzi unaahirishwa hili la mgombea kulazwa
  si tutampigia kura hata akiwa huko kuna ubaya hapo ?
  Mbona hakuna haki kwa sisi wapiga kura uchaguzi uwahirishwe kama tunaumwa.
  Hebu fafanua zaidi hapo na ipo kwenye sheria za nec?
   
 19. C

  CAIN Member

  #19
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nafikiri hayo ni mawazo yao na sababu za kutafuta visingizio hapa. Hivi alipoanguka yule mgombea ****** na kuvunja mkono haiwezi kuwa njama au???? Kama kuumwa kutafanya kura zisipigwe basi hata wapinzani wanaweza kuitumia, tena ili wapate muda zaidi wa kujipigia kampeni maana wanatapatapa...
  NO ONE KNOWS THE FOREFATE OF ANYONE UNDER THE SUN...


  Nawakilisha Oktoba 31
   
 20. B

  Boca1 Member

  #20
  Oct 17, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hapo czani kama itawezekana maana chama kiliishapigwa chini sawasawa na mtandao uliyomueka madarakani. Sasa ivi kazi za chama zinafanywa kifamilia zaidi. Cjui makamba yy anesemaje katika hili
   
Loading...