Elections 2010 Slaa apata mapokezi makubwa Urambo

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,146
884
Mgombea urais wa Chadema dr Wilbroad Slaa amepokewa na umati mkubwa sana wa wananchi wa Urambo leo hii, kampeni imekwenda vizuri sana, watu wamehamasika sana, hakuna aliyebebwa kwenye malori, kammaliza kabisa Fisadi Sita na J.K wake. Ameondoka kwenda Tabora baada ya Hotuba. Peoples....!
 
Je, huko urambo nani amesimama kama mgombea wa Chadema? Mkoa wa kagera mbona sijasikia kama kafika Karagwe, Ngara na Biharamulo??
Peoples power... hongera!!
 
Mgombea urais wa Chadema dr Wilbroad Slaa amepokewa na umati mkubwa sana wa wananchi wa Urambo leo hii, kampeni imekwenda vizuri sana, watu wamehamasika sana, hakuna aliyebebwa kwenye malori, kammaliza kabisa Fisadi Sita na J.K wake. Ameondoka kwenda Tabora baada ya Hotuba. Peoples....!

Dr. kwakweli kawatoa jasho CCM mwaka huu!
 
Ningependa afanye mdahalo na Mh. Sitta nadhani ingekuwa vizuri sana...

Ila nadhani hadi sasa CCM washajua nini kitatokea.. wajipange tu 2015 kama watakuwa hawajafa..
 
Ningependa afanye mdahalo na Mh. Sitta nadhani ingekuwa vizuri sana...

Ila nadhani hadi sasa CCM washajua nini kitatokea.. wajipange tu 2015 kama watakuwa hawajafa..

Sitta sio saizi yake..sita afanye midahalo na akina mnyika na Zitto maana hao ndo wagombea ubunge wenzake.Dr.Slaa not of his level
 
Ningependa afanye mdahalo na Mh. Sitta nadhani ingekuwa vizuri sana...

Ila nadhani hadi sasa CCM washajua nini kitatokea.. wajipange tu 2015 kama watakuwa hawajafa..

mgombea ubunge hawezi kufanya mdahalo na mgombea urais.....mwenzie wa ubunge si yupo palepale urambo? aache usanii huyu Six, bwana wao makamba amewaziba midomo wakazibika na wanyamaze milele hadi watakapopata bwana mwingine mwenye kufikiria tofauti....
 
gari linapita hilo na CCM wamebaki nyuma wanasoma namba ya gari T.0001 SLAA hiiiloooooooooooooooo......limepita hadi IKULU ya magogoni.
 
View attachment 15392View attachment 15391
pencil.png
 
wana-jf sioni sababu ya kulalamika kuwa rais mtarajiwa hajafika huko karagwe,ngara au hata biharamlo
sisi tliona mapokezi sehemu alizopita president 2010-2015 tuwapelekee ujumbe uwe wa picha au habari ya maneno tu.
wao wajiandae kwenda uwanja wa zamani kwa makabidhiano.
vilevile bw six asithubutu kwa bw weapon kudai afanye mdaharo nyumbani kwake huko urambo atapoteza wapiga kura
wake hata zile za ndugu zake.
KUMBUKA HUYO NI SLAA (NGUVU YA UMMA). Haiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikamatiki SAWASAWA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom